Huyu bwana ni msomi ana LL.B, alishawahi pata kashfa akiwa RPC mbeya mahabusu wapata 26 walikufa kwa kukosa hewa kwenye kasero kadogo, baada ya hapo akahamishiwa police Interpol mkuru wa kaya baada ya kupata ukuru akamteua kuwa IGP, lkn ni shemeji yake kabisaaaaa na mh. JK, SASA HAPO PIMA KAZI

read the heading and put your points!Mwema nadhani kaleta mabadiliko makumbwa ktk jeshi la police ukilinganisha na tunakotoka, Evidence ya hivi karibuni ktk uchaguzi, Polisi hawakutumia mabavu kama tulivyo zowea huko nyuma
Hongera S Mwema keep it up !!!!!!
Wakati Mahabusu wanafariki Mbeya, Mwema alikuwa likizo. Wale waliotuhumiwa kuwaweka Mahabusu katika chumba kidogo ambao walikuwa Maaskari, walikamatwa na kuwekwa ndani kusubiri kosa la kusababisha vifo. Lakini nao wakatoroka, Mwema akaahirisha likizo kwenda kushiriki zoezi la kuwatafuta. Wakakamatwa wote kwa uongozi wa Mwema. Akapandishwa cheo kwa interpol.
Hajaoa Ndugu wa Kikwete, Mama yake Khadija Mwema hana undugu na Kikwete kabisa. Mke wa pili pia.
soma heading inataka nini sio huu upupu.ndio maana mnafeli mtihani.
Shhhhhh!Acha udictator wa kizamani..wanaochangia wote wanamchango fulani kuhusu post uliyorusha.We si umeuliza Mwema ni nani? Sasa limitation za nini katika michango yao? utaendea kula nyundo za kichwa sana ukilazimisha mawazo yako binafsi katika hii forum.
Hiyo pia ni CV, Back to school hujachelewa..read the heading and put your points!
Thread hii sio ya pongezi. kama una info kuhusu CV yake, mwaga hapa!
Shhhhhh!
Who is IGP Mwema? CV Please!
Dont skip the initial "main" part manga... The next part its only additional