Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Hapa alipokuwa bosi wa IT and billing pale Vodacom na kushoto kwake ni bosi wake wa zamani pale Vodacom
Yupo nbc sio nmb, ni coo pale nbc. Jamaa ni kweli amehusika na uchakachuaji.....tunajiandaa kumfile kesi mahakamani ambayo itamrudisha ground zero. Stay tuned
Mchungaji haujatulia unahitaji ban nini maana wafungwa wamezoea zela maisha ya uraiani hawajayazoea kabisa watabaka hata kuku warudishwa walikozoeaNyekundu nimesoma kiswahili.
Mchungaji haujatulia unahitaji ban nini maana wafungwa wamezoea zela maisha ya uraiani hawajayazoea kabisa watabaka hata kuku warudishwa walikozoea
Majina ya wazaramo hayo mzee.Hivi inakuwaje mpaka mtoto wako unampa jina kama hilo? Eti Maharage
Sure. Nilimfundisha hapo Kinondoni. Ila alikuwa anaitwa Chande Maharage. Kumbukumbu yangu kumhusu ni kwamba alikuwa mwanafunzi mzuri mwenye kupenda kujua/kuelewa. Yani kitu asipokielewa atakusumbua mpaka kieleweke. Pia alikuwa msafi na mtanashati sanaÖ level Kinondoni Secondary School