Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
ustaadh anataka details zako ili akupe za mange mpe hata nusu cv hahahaha ingawa kaishiwa hoja mpe point tatu za bureeee
i love you
leyla babake makongoro ila anatumia jna la mama kwa sababu ktk uislam mtoto wa nje ni wa mam ndo maana anatumia ukoo wa mama ake
Hahahaaaa! THE DROP OUT OF HIGH SCHOOL KID!!!! Amakweli anajua anachokifanya kuuza bar! Ni profession pia lakini.
leyla babake makongoro ila anatumia jna la mama kwa sababu ktk uislam mtoto wa nje ni wa mam ndo maana anatumia ukoo wa mama ake
Mange anaishi ulaya tena maisha mazuri kama anavyodai yeye, kwa nini kila siku ahangaike na wabongo mitandaoni kutukanana ovyo? Anapata wapi uo mda?, ivi k-lyn aka bosslady anapata wapi huo mda kwa mfano? . Mimi nina wasi wasi kama sio YAYA aka mama wa nyumbani na hana kazi za kufanya na ndio maana anapata mda wa kurumbana na kujua maisha ya akina SINTAH ambao wako bongo wakat yeye yupo ulaya
SASA ASITUZUGE ANASUBIRI KWENDA COLLAGE! Aseme mtu mie Leyla shule staki nataka niuze bar nitoe blow jobs za uhakika niingize mkwanja! Kwani tunamdai? Hahahaaaaaa!Hata bill gates alidrop out nini cha ajabu?kuuza bar ni km kazi nyingine zinalipa bills!
Nadhani sasa yaliyobaki ni mazungumzo baada ya habari kwa sababu mjadala nimeumaliza.
Sasa naondoka ila mkizidiwa tu niiteni.
Wasalaam, Ustaadh Swaleh aka Mr. Fact-Checker -Myth Debunker.
Akitaka zangu akaanzishe uzi mwingine aupe kichwa cha habari "[h=2]WHO IS USTAADH SWALEH.? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu! Biography and facts![/h]
Nje ya hapo ni sidetracking tactics zisizo na mashiko. Tupo hapa kumjua Mange, siyo Ustaadh. Teh teh teh
Mwenyewe nilikuwa nawatamani kitambooo niwachambe, maana kila uzi wa mange naukuta page ya 10. Naona nishapitwaa! Leo nikasema hataaaa NGOJA NIKATE KIU NA MIE! Hahahaaaaaaa! Lazima mlalw unono na hapo mambo ya kina Mwammy yame fichwa, yangefichuliwa humu mambo yangekuwa MDOGO MDOGO mwendawazimu kaingiajeeeee mpaka asubuhi! Hahahaaaaaaaaaa! Umbea mtamu jamani! Sema tu dhambi!Yaaaani umetusaidia saaana mkuu sie wambea tutalala unono hahauaaaa (devil's laugh) lols
leyla babake makongoro ila anatumia jna la mama kwa sababu ktk uislam mtoto wa nje ni wa mam ndo maana anatumia ukoo wa mama ake
hivi mange na linda nanj aloshindkana...?!!hebu jiulize mmama km yule hana hadhi hana stara kuuutwa kugmbana na watu mitandaoni anajitia aibuHahahaaaa! YA LINDA BEAUTY WA KIJIJI YAMEKUSHINDA KUASIMAMIA MWEEEEEEE.? Hahaaa! Utahangaika sanaaa kuitete migumegume iliomshinda mtume!
WAMUACHEEEEEEEEE!MANGE wetu...kubwa la MAADUI...JESHI LA ONE PERSON!
ujue nini anaogopa utamuumbua bosi wake hahaha uzi aaanzishe mwenyewe cv ya ukweli agome kutoa hahahah eti anataka zetu kwanza zetu ili iweje???? sisi sio maarufu zitamsaidia nini cv zetu i wonder kuanzia leo sio kubwa la maadui umechakazwaaaaaaa na ustaadhi swalehe shoka moja mbuyu chini hahahaha
Yaaaani umetusaidia saaana mkuu sie wambea tutalala unono hahauaaaa (devil's laugh) lols
WAKO MIA, NA WOTE NIMEWAPANGA MMOJA MMOJA WAKAPANGIKA! Watu wakiombwa cv WANAPOTEA ONE BY ONE WAKATI KWA KUSHADADIA MAMBO YA MWENZO WAKO JUUU!WAMUACHEEEEEEEEE!MANGE wetu...kubwa la MAADUI...JESHI LA ONE PERSON!
Makongoro nyerere?
Na yule Richard Wa bba ni nani yake
Makongoro nyerere?
Na yule Richard Wa bba ni nani yake