Mmh huyo mange kusoma kote shule nzur ndan na nje ya nchi, kumaliza mastaz,kuolewa na mzungu na kuishi ulaya yani bado tu hajajitaid ku adopt some of the fruitful behaviour like ustaarabu? Na kuacha uswahili , halaf ndo tunaambiwa kaishi mbezi beach mmmh wonders shall never end in this land, na huyo mzungu kaz anayo we ngoja watamfuata mpak uko kwa mumew wamuonyeshe adabu
Hana tofauti yyte na huyu lara1 walewale kutafuta cheap popularity tu
She cud have made more money differently I blv basi tu ndo akili Zhao za mgando hzo
Kumsifia hawara Wa babake wakat mamake anakufa na umaskini tandale
Kujifanya ana namasters kumbe vyuo vya uchochoroni
The thing is wanadani sisi kusoma hz so called st kayumba basi we never connect some dots
Huyu ---- lala anataka kutushika maskio wakat watu wana full non do
kama haamini ajaribu tu kutaja jina lake kamili aone waTu wanavyompa details anajiuza wapi anafanya ishu gani na uswahilini kwao ni wp
She won't blv me sababu najua hajasoma udsm kama anavyojisifia n pipo knows so hana cha zaidi ya kutafuta umaarufu mavi humu jf
we ndio unaona anazuga, ila yeye anauhakika na anachokifanya. Usimseme vibaya motto wa mwenzio kwa kupendezesha ushoga hujui kesho Mungu akikujaalia mototo atakuwa na tabia gani, kulea hakuna ufundi ni kudra za Mwenyezi mungu zinahitajika, hata Mange babake (maana hana time na mama) angekuwa hai asingependezwa na ugomvi na matusi ya mwanae kwa kila mtu, mbona kaka zake wako cool? tatizo alikulia uswahilini, mbezibeach kaja kashajua mengi mabaya ndio maana yupo hivyo.SASA ASITUZUGE ANASUBIRI KWENDA COLLAGE! Aseme mtu mie Leyla shule staki nataka niuze bar nitoe blow jobs za uhakika niingize mkwanja! Kwani tunamdai? Hahahaaaaaa!
Lara muulize boss wako vipi amekosa hela ya kushonea weaving nyingine maana alionayo ni toka mjamzito mpk sasa nyweli haninuki kweli...? Ni karibia miezi 5 lolz anatuaibisha.....
Witty comment darling, i rate 100%, duh upo smart sana binamu, mimi ningependa kupata jibu la swali la 1 tu tuone uo utajiri wake
halafu watu humu wanapenda kumchamba ilihali hawajui hawamjui.....full kuchukiana!!!
Mwe haja ngoja waje.........
Hivi kwanini msifanye partnership muanzishe blog yenu ili mle hela ya wadhamini kama le mutuz alivyofanya.maana humu mnatumia nguvu kubwa mnaishia kupewa like tu
I only wonder from primary to university ila mtu bado ana ji behave local n cheap like that, Elimu imemsaidia nini huyu? Au kujaza vyeti ndani tu maana sidhan kama hiyo elimu iliingia kichwan naona iliishia kwenye vyeti tu. Atleast she could beefing with watu ambao wanajielewa, sasa mange anagombana na akina sintah? Mbuta nanga? Halafu ndo msomi huyo tena anaishi ulaya anakaa kila kukicha kufuatilia maisha ya wabongo mbaya zaidi na matusi juu, anapata wap mda wa kutafuta picha za uchi za chagga barbie ili amuwek mitandaon? MUKE YA MZUNGU huyo, sasa angeolewa na akina muhogo mchungu sijui ingekuwaje
Demba umaarufu ndo ulivyo acha achambwee tu hata we ukiwa maarufu ndio hivyoooo kubalin matokeoo,maana hamjibu maswalii mnakimbilia tunamchukia kwa lipii alilonalooo
na ndo mana ana hasira sana mana hao anaowatukana macute kumzidi wenye watoto ndo duh magoli mengi ye hata hao alozaa na mzungu pori nao majanga wanapewa kk na weupe tuJamanii umenikumbusha kule udaku special Mange anachambwaa jamaniii eti" unasema wenzio wabaya we mbona domo kama hotpot hatusemi hm,bhoke mwenyewe sura kama anapigwa lipu "
Watu wana michambo jamaniiiii
matokeo yapi? mi siteteagi kashfa zisizo na kichwa wala miguu...huwezi kunikuta humu eti namchamba mtu ikibidi natoa ushauri tu nasepa....awe marufu asiwe maarufu..ila wanawake tuna shiida sana,
Hivi kwanini msifanye partnership muanzishe blog yenu ili mle hela ya wadhamini kama le mutuz alivyofanya.maana humu mnatumia nguvu kubwa mnaishia kupewa like tu
Et utajirii alionao ni kupata viewers wengi kwenye blog ,eti binam ushaona utajiri wa hivyooo huu si ndo ukichaaa huuu sie atuambie ana nyumba ngapi,biashara je, viwanja etc ....kachenga kujibuu
Nikajua labda ata orodhesha utajir wake tunaambiwa anamilik blog duh nikachoka kweli lara ni kiboko yan kabisa anaandika et anamilik bongo nn sijui , nikajua labda tutaambiwa ana milik walau hata mgahawa kama jide maana najua tusingepumua, sasa bibie bongo hana ata asset ya maana au ndo urith wa baba? Ataje mali zake za kueleweka urith hat akina mwantum wanao uko tandale
Labda anajenga hotel kama serena uko ulaya ngoja tusubir billionaire mange, naona had trip zake za nch ya nje tume orodheshewa chezea
halafu watu humu wanapenda kumchamba ilihali hawajui hawamjui.....full kuchukiana!!!
matokeo yapi? mi siteteagi kashfa zisizo na kichwa wala miguu...huwezi kunikuta humu eti namchamba mtu ikibidi natoa ushauri tu nasepa....awe marufu asiwe maarufu..ila wanawake tuna shiida sana,