Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
-->>MANGE KAMA MTU ANAYEPATA HABARI ZA SIRI MAPEMA ZAIDI.
-->>KILA KIZURI KINA UBAYA WAKE AACHWE TU MAANA YAELEKEA IPO SIKU ATAIOKOA PENGINE NCHI KATIKA JANGA FULANI.
-->>MAGOIGA NI MNAFIKI NA MCHOCHEZI.../
-->>SEREKALI KAMWE HAIWEZI KUWEKA UZITO KWA MTU WA AINA HII.
-->>FURAHA YAKO YA KINAFIKI NI KUONA ANAKATWA NA KUFIKISHWA MAHAKAMANI.
-->>FOR TZ GOV'T HUYO NI KIUMBE MDOGO MNO,NA SI ETI SEREKALI "INAMWOGOPA" HAKUNA KITU KAMA HICHO,HIZO NI FIKRA ZAKO DUNI.
•unadondosha kete yako ya negativity ili positivity asikie achukie a-react.../poor../
 
Mange kweli ni kichaa wa kipekee yani serikali inashindwa kumkamata na kumpeleka mirembe kwa lazima atibiwe apunguze maafa kwa jamii inayomzunguka. yule umchokoze usimchokoze akijisikia tu ni matusi, na hasa ana dili na watu maarufu na waliomzidi uwezo...mana yule hakosoi tu na matusi juu tena ya nguoni halafu sio kwamba yote anayoyaongea yana ukweli asilimia 70 ni uongo...nawaonea huruma sana watoto wake mana sio kw vipigo anavyowapa tena bila hata la kosa maana, bora yule mkubwa baba ake anamchukua apumzike na vipigo.
 
mange mbona anaongea ukweli vitu vingne hata wanaoongelewa hawawez kujibu kabsa yule anapata information yenye uwakika ndio anaongeleaa mbona alimdharirisha mgombea wetu sana ninyi mkiwa mwafurahi ingawa alikuwa anasema ukweli
 
Serikali haitakuja kumuokowa, no deportation, no help. Aendele kuburudika na maisha ya kuazima.
 
Tuogee na jirani yetu atukodishe kikundi chake cha Assassination Tukarekebishe mambo!!

Ila Mage nilikuwa simkubali ila namkubali kiasi flani!
 

USA wanaheshimu haki za binadamu, huwezi kumpata kirahisi kama yuko Kampala , Zimbabwe, au niseme afrika
 
Hasira za baba zao
 
Yani hyu dada (mange) ni kiboko ya uchafu. Huwa ana maneno ambayo nikisoma post zake nacheka sana
 
Kwa hiyo unashauri resources zitumike vibaya ku deal na huyo sisimizi? Huyo sisimizi utafika wakati wake ambapo hatategemea.. Ataingia kibla tu...Mbio za panya mwisho wake sakafuni..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…