Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Tena Katoa sababu zenye mashiko kabisa.Badala ya kuchangia harusi nitamchangia huyu dada yetu
 
Ko kelele za cku zote zile kumbe lengo n kuja kufika huku kwenye kuchangiwa? Kwel kaz ngumu [emoji21] [emoji21] [emoji30]
Nasie tunaomsuportg kwa coment msitusahau cz nasi ni wanaharakat wenzie
weka namba yako ya simu na jina lako kamili tukuchangie
 
Mnachangia Mb au. Hivi huyu ni yule dada anaekata mauno akiwa amevaa nguo za ovyo mitandaoni.
Hizo pesa bora nikachangie watoto yatima nipate thawabu kwa Mungu....
 
Utapeli ndo unaanzaga hivi hivi ! Huko Marekani anaishije mpaka aombe pesa ?! Kwani hizo harakati zake alitumwa na mtu ? Wajinga ndio waliwao,toeni pesa !!
 
followers milioni 1....kila mtu akitoa tsh 1000.....dada yetu atapiga BILIONI 1......Kumbe udaku unalipa ngoja na mimi niaze aisee
 
Utapeli ndo unaanzaga hivi hivi ! Huko Marekani anaishije mpaka aombe pesa ?! Kwani hizo harakati zake alitumwa na mtu ? Wajinga ndio waliwao,toeni pesa !!
Unaweza kwenda katika blog yake ama facebook page yake umuulize jinsi ya kutuma pesa kama umeguswa na mchango wake mkuu. Mimi sihusiki ilanaamini ana nia nzuri na nchi yake kama anatumia masaa 15 kufanya harakati.
 
Weka utaratibu tuchangie, mbele kwa mbele mpaka kieleweke
 
Nimepitiasehemu nimeiona hii habari nikaona ni vyema kuisambaza kwaajili ya kufanikisha shughuli za Dada yetu mpendwa Mange Kimambi. Samahani kwa mavazi katika picha hii kama yata wakwaza wengine... Huyu ni mwanaharakati


Mange Kimambi
Mwanadada mtazania anaeishi nchini Marekai ambae amejichukulia umaarufu mkubwa kupitia mitandao ya kijamii hasa mtandao wa Instagram kutokana na harakati zake za kisiasa katika kuikosoa serikali na viongozi bila uoga,Mange kimambi amewaomba watanzania na wadau wengine wanaoguswa na harakati zake wamchangie pesa kidogo ili aweze kuendesha vizuri harakati hizo.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram,Mange Kimambi ameto wito kwa wadau wote kumchangia ili kuweza "kumkeep busy" kwa muda wa masaa 15 kila siku kufanya harakati.

"Nimeona harakati zangu ziendelee based on donation na sio malipo,yaani kwamba atakaeona anaweza kuchangia chochote ili kunikeep online"
"Mtu atakuwa anaweza ku-donate anytime akijisikia yeye kwa amount anayoweza yeye"
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…