Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Du kama hesabu zako ndo hivyo. Kweli kazi mnayo so mnachangia mtu anayetukana. Kwenu the end justifies the means.
Tumia correlation kueliminate the error!
Well sipangiwi matumizi ya pesa yangu!
 
Wewe acha kusapoti ujinga, kwani waliondolewa kazini kwa kukosa vyeti hawakufanya mambo makubwa. Mie minamfahamu daktari mzuri aliyefanya makubwa lakini amelazika kuachia ngazi.
 
Haha..embu ngoja nikaangalie kuna habari gan leo kwa Mange Kimambi......
 

Kurokea => kutokea
Hashima => heshima
Bini => bin
 
Reactions: e2n
K

Kwa hiyo mkuu ulitaka ndege zisinunuliwe hadi dawa ziwepo hospitali, wanafunzi wawe na madawati nk. Hii kali
between two evils choose the lesser one, sasa hapo angalia kipi kina faida kwa wananchi wa kawaida yaani wavimba macho kama mm
 
Nani mjinga zaidi Mange au watu wanaomchukulia Mange seriously.!?
wanaomchukulia serious bila ya kuchambua kile akisemachoo.. Kuna muda mwingine anatoaga kasa nyingi tu na akijistukia anafuta harakaa
 
Napendekeza Mange siku au uchaguzi ujao agombee ubunge au Apewe viti maalumu.Iwe live mapande yake.
 
, Mange Kimambi ni moja ya watu wanatumia mtandao vibaya hususani kwa viongozi wetu, matusi mazito,kashfa, vimbwanga, vimbwanga n.k.pia ni mtu ambaye anao ushawishi mkubwa sana katika mitandao ya kijamii na watu wengi wanatumia mitandao hiyo wanamfatilia sana kujua Mange leo kaamka na nini.Ukimfatilia kwenye facebook, tweeter na instagram n.k wengi wanamfatilia mno,pamoja na serikali kufunguliwa kesi 17 bado hatuoni jjuhudi mbali mbali za kuhakikisha an afikishe kwenye vyombo vya dola.Kwa maoni yangu kwa kuwa Mange anaishi kwa Trump na sheria za nchi hiyo zinaruhusu Democrasia na Uhuru wa kujieleza zaidi,hivyo inaweza kuwa kikwazo kumkamata mtu huyu. Na kama alishaukana uraia wa Tanzania basi sina uhakika kama Marekani wako tayari kumwachia raia wao kushitakiwa kwa sheria za Tanzania.
 
Badala ya kuhangaika na viwanda mnahangaika na mitandao ya kijamii, bure kabisa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…