anazipata wapi?na kwanini serikali haitaki mjue?nielekeze namna ya kujiunga na hyo taasisi sina ajira mimi.Mange Kimambi ni institution/mtu ambae somehow anazipata information ambazo serikali haitaki tuzijue na yeye utuambia- Ni whistle blower mzuri sana
Sheikh katiririsha mapovu mobKiboko ya Sheikh Mkuu wa BAKWATA
kwani si nimeambia mange ni taasisi mbona unaniwekea pcha ya mdada mrembo?Ni mwanaCCMView attachment 690956
yeah....ni jeshi la mtu mmoja lakini mwenye silaha bilioni!Nasema huyu dada ana jeshi kubwa na hakika amegeuka taasisi tena yenye intelijensia katika maeneo mengi.
Habari ya huko Shinyanga inayohusu wafanyabiashara kufungiwa maduka ambayo Mtatiro nae kaitoa yeye alishatumiwa muda tu hivyo ni wazi huyu dada anapewa taarifa ambazo ni za uhakika hata kama sio zote.
Ya sheikh ndio kabisa yanazidi kuanikwa huku wahusika wakitajwa mpaka na majna jambo ambalo si la kuupuza.
Tunaweza kumpuza ila ni kwa uhakika ni kujidanganya tu.
IndeedDaaah vijana wa dar na upuuzi wenu...
Ehh wewe ilo ni swali gumu sana kwao!Ni kweli ni taasisi kwa kuwa Chadema mko nyuma yake dhidi ya yote anayofanya....
Swala la kumshambulia kiongozi wa dini mko nyuma ya hayo lakini lazima mjiulize Mange kwenu ni Asset au Liability?
Kuwa makini .... atakutafunia mkeo. Shauri zakoNi kweli ni taasisi kwa kuwa Chadema mko nyuma yake dhidi ya yote anayofanya....
Swala la kumshambulia kiongozi wa dini mko nyuma ya hayo lakini lazima mjiulize Mange kwenu ni Asset au Liability?
Hawezi kujitathmini maana ana damu ya chama kile...Kwa yaliyoanikwa, ni wakati wa sheikh wa Dar naye kujitathmini kama anafaa kuendelea kuwaongoza waislam ama aachie ngazi