Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
kwenye mitandao mange anaonekana shujaa, but kwenye uhalisia sio hivyo, ni kama ilivyo upinzani wafuasi wake ni wachache ila wako busy mitandaoni lakini ccm ina wafuasi wengi na wengi wao hawako mitandaoni.
Na hao unadai ni wengi ndio wanaongoza kushikiwa akili.
 
Kweli CCM wengi sana hawashughuliki na mitandao wako busy na maisha yao ya kila siku
 
ndugu Nakushukuru kwa kutupa data za Huyu Dada yetu , Mimi sio mshabiki wake na nadhani nimeingia mtandaoni kumsoma kama mara tatu tuu, na mara zote hizo nilikerwa sana na lugha anayoitumia. sikujua kumbe ana ukaribu na Kijana Malecela amabya alikuwa akimtukana matusi ya kushtua sana.

kwa namna alivyokuwa na wafuasi wengi, nadhani angekuwa na busara angeweza kuitumia fursa hiyo kuisaidia nchi yake na yeye mwenyewe vizuri sana, lakini kwa hii tabia yake ya MATUSI ama UCHOCHEZI, inaonyesha kuwa sisi tumekuwa taifa la wajinga wengi, kwani wafuasi wengi wanafuata kuyasoma matusi ama ni wapenzi wa lugha chafu isiyokuwa mila zetu.

Wafuasi wake wangejiuliza , JEE ni kwanini Mange haelewani na watu wake wa karibu, Kwa nini anapoteza marafiki au washirika wake kirahisi, na MUHIMU KABISA KWA NINI KANAACHWA NA MUMEWE NA MAHAKAMA YA UMAREKANI IMEMNYANGANYA WATOTO NA WAKO KWA BABA YAO, NAYEYE AMEPEWA FURSA YA KUWAONA WANWE MARA MOJA KWA WIKI?????????? Ndugu waguasi wa Mange, America mama hanyanganywi watoto kirahisi hata kidogo, hilo huweza kutokea iwapo Mzazi mwenzake atakapoweza kuionyesha Mahakama ushahidi uliohakikiwa na SOCIAL SERVICES ya kuwa Mama hana MAADILI MAZURI YA Kuweza kuwalea watoto, na hao watoto wakiachwa kwa mama yao watopotea.

sasa kama mange ni hodari wa kuanika makosa ama aibu za watu asiowapenda amd kama ni mkweli basi henbu aweke hizo documents za mahakama zilizo mnyanganya watoto, wafuasi wake wajue ukweli.

Ni kitu cha kushangaza and it only happens in Tanzania AN UNFIT MOTHER CAN LEAD OR HAVE SUCH A BIG NUMBER OF FOLLOWERS. THERE IS NO DOUBT AT ALL THAT SHE IS INTELLIGENT AND VERY INTELLIGENT, BUT SHE IS NOT SMART OR ETHICALLY RIGHT AT ALL.

I AM EXPECTING ALL TYPES OF INSULTS FROM HER LAMBS AND HERSELF, BUT FORTUNATELY I NEVER LOOK BACK NOR DO INSULTS FROM THOSE BELOW ME DO BOTHER ME.
 
kwenye mitandao mange anaonekana shujaa, but kwenye uhalisia sio hivyo, ni kama ilivyo upinzani wafuasi wake ni wachache ila wako busy mitandaoni lakini ccm ina wafuasi wengi na wengi wao hawako mitandaoni.
Kama akili zenu mmeshikiwa na Polepole kwanini msiwe wengi halafu sio jambo la ajabu nyumbu kuwa wengi.
 
Ni ushauri mzuri. Busara ni mshiriki mzuri wa utatuzi kuliko nguvu. Tawala kubwa zilizokuwa maarufu duniani leo zimebaki kwenye vitabu vya historia. Jambo unapolizuia unalipa umaarufu.
 
kwenye mitandao mange anaonekana shujaa, but kwenye uhalisia sio hivyo, ni kama ilivyo upinzani wafuasi wake ni wachache ila wako busy mitandaoni lakini ccm ina wafuasi wengi na wengi wao hawako mitandaoni.
Kama ni wachache risasi za moto za nini?
Mugabe alikuwa tuliambiwa anachagukiwa kwa 90%+ lakini mbona jeshi lilipo mdhibiti ni 90%+ ndiyo ilikuwa mtaani kushangilia?
Jiulize kwa makini.
 
Thubutuni!!! labda maandamano ya mtandaoni sawa yatafanyika lakini ya physically front line hapana bado naitaji kula ugali na maharage
 
Mkuu huyu Mange ndo huyu wa instagram kweli? Maana mimi nnayemjua ni Mtoto wa Marehemu mzee Kimambi yule aliyeishi Kahe; Moshi Vijijini ambaye alitujengea msikiti kule...BTW duniani ni wawiliwawili huenda huyu na huyo wa Mbezi Beach wanafanana sana au mapacha maana huyu wa Kahe wakati anaolewa alikuja pia na mzungu anayefanana na yule aliyepostiwa na Mange wa instagram. Nadhani hata mabwana zao walifanana pia.
 

Mange. 1984. Baba ya mange kajiua Kwa sababu zisizojulikana.?Mwandishi mi nimeona Haya tu kwako. ? Credibility yako tunaitilia mashaka. Kipimo cha wtz kuandama Huku ni dalili ya kutaka uraia. Hawana lolote mtu mwenye akili timamu na Kazi zake hawezi mfuata Mange.
 
Watanzania na Ushabiki wa Mitaondaoni Vs Uhalisia...
Unless upo Sayari ya Jupiter, lakini katika sayari hii ya dunia ya leo, si busara hata kidogo kudharau nguvu ya ushawishi kupitia teknolojia hasa mitandao ya kijamii. Katika nchi nyingi mitandao ya kijamii imeleta mshawasha mkubwa katika nyanja za siasa na demokrasia. Tujenge utamaduni wa kujirekebisha badala ya kupuuza.
 
Unachokerwa ni matusi yake au hoja zake?
 

Hakuna serikali duniani inayoweza kuruhusu waasi kuandamana kwa lengo la kupindua serikali halilali iliyochaguliwa kikatiba!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…