Who is Manji in details?

Said S Yande

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2013
Posts
879
Reaction score
652
Manji ampiga bao Dangote Afrika
 Burudani
 September 16th, 2015
 0 Comments
Mwenyekiti wa Makampuni ya
Quality Group, Yusuf Manji.
Mwandishi Wetu,Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Makampuni ya
Quality Group, Yusuf Manji
ameibuka mshindi wa tuzo
maarufu ya Mfanyabiashara Gwiji
Duniani.
Manji ambaye ni mwenyekiti wa
mabingwa wa soka Tanzania
Bara, Yanga, ameibuka mshindi
wa tuzo hiyo na kuwashinda
mabosi wengine kama bilionea
namba moja Afrika, Aliko
Dangote wa Nigeria.
Kwa mujibu wa Mtandao wa
Business Forum, Mwenyekiti
huyo amekuwa kiongozi wa
kwanza kutoka Afrika kushinda
tuzo hiyo ambayo awali
walikuwa wakichukua matajiri
wengine wakubwa na maarufu
kutoka katika Mabara ya Amerika,
Ulaya na Asia.
Msemaji wa Quality Group,
Smitha Swamy jana alithibitisha
Manji kushinda tuzo hiyo, lakini
akasema atakuwa tayari
kulizungumzia hilo, leo.
“Ni kweli, lakini leo (jana)
nimebanwa. Nitalizungumzia hilo
kesho (leo),” alisema.
Baadhi ya waliowahi kutwaa
tuzo hiyo ni Mwenyekiti wa
Emirates Group, Sheikh Ahmed
bin Saeed Al Maktoum inayomiliki
Kampuni ya Ndege ya Emirates
inayozidhamini timu za Real
Madrid, Arsenal, AC Milan na
nyingine kubwa.
Wengine ni Mwenyekiti wa
Emmar Properties, Mohammed
Alabbar pia bilionea kutoka India,
Ratan Tata anayemiliki kampuni
kubwa ya Emeritus of Tata Sons
Ltd.
Pia bilionea namba tano kwa
ubora duniani, Mukesh Ambani
ambaye ni mwenyekiti wa
Reliance Industries Ltd. Wengine
ni Yingluck Shinawatra, Waziri
Mkuu wa zamani wa Thailand.
Pamoja na ushindi huo wa
kishindo wa Manji dhidi ya
matajiri wengine wakubwa
Afrika na duniani kote, kampuni
yake ya Quality Group imeshinda
kuwa kampuni bora na yenye
mpangilio wa uhakika kwa Bara
la Afrika ikipewa Tuzo ya “Most
Iconic Brand 2015”.
 
Mh!!
Lunch box, ukiifungua unakutana na pair ya soksi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…