Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Labda !
Anaenda kupandikiza mbegu za mtoto wa piliKwani Makonda asipoenda USA anapjngukiwa nini? Mbona hao Wamarekani bado wamejazana kwenye mkoa unaoongozwa na huyo Makonda? Si waondoke hapo Dar? Wapumbavu tu hao!
Kwani Makonda asipoenda USA anapjngukiwa nini? Mbona hao Wamarekani bado wamejazana kwenye mkoa unaoongozwa na huyo Makonda? Si waondoke hapo Dar? Wapumbavu tu hao!
Ohoooo !!!Nchi ya Nyerere imefika huku, mambo ya aibu sana haya kama taifa.
Ni matokeo ya kiburi cha jiwe, mabeberu walimwambia asijenge stigler goji kwa faida ya dunia akang'ang'ania kujenga.Haya ni matokeo ya mbegu tulizopand wenyewe