Elections 2010 Who is next??.......

zumbemkuu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
11,075
Reaction score
9,263
Kauli ya mheshimiwa anayeondoka madarakani kuwa kuna viongozi wanataka kutumia mii ya watanzania kama ngazi kuingia ikulu inatimia. Marehemu STEVEN KWILASA MASANJA ameingia kwenye vitabu vya kumbukumbu kwa mwili wake kutumika kama ngazi ya kwanza kwenda ikulu. MWENYEZI MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI.
RAIS YEYOTE ATAKAEINGIA MADARAKANI AJUE NGAZI YAKE YA KWANZA KUKAJAGA NI MWILI WA MAREHEMU STEVEN, akiwa JK atambue hilo, akiwa Slaa atambue hilo. Sijui ngazi zipo ngapi………nani anafuata? Mimi au wewe? Wadhani ngazi ingetumika ya Ridhiwani babake angesemaje? Je angekuwa mtoto wa Slaa, angechukua hatua gani?? Au miili itatumika kwa sisi walalahoi tu??

I am so sorry, ………….so sad!!
 
wale waliokufa zenji siwahesabu km ngazi maana ilikuwa ajali ya kawaida, Mwenyezi Mungu awalaze mahali pema peponi.
 
Originally Posted by LUSAJO L.M.

Nimepata taarifa kwamba msafara wa Mgombea wa Ubunge kupitia CHADEMA jimbo la Kibakwe wilayani Mpwapwa Kamanda Benson Kijaila Singo umevamiwa na Green Guards wakiongozwa na Kaka wa Mbunge aliyemaliza muda wake na kuua Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la Lucas Kiwanga na kujeruhi wanachama wengine wa CHADEMA. Hili limetokea leo mida ya saa moja usiku.

Tutajulishana zaidi taarifa zaidi zikitufikia.



ngazi ya 2 hiyo, sitachoka kusema kuwa kiongozi yeyote atakaeingia ikulu hizo ndo ngazi zake. inauma sana, sijui keso atakuwa nani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…