Who is Said Salim Bakhresa (Azam)?

Jamani hizi surprises mie ngachoka!

Hii wiki iishe tu sasa maana imekuwa na mengi. Mara watu waingie bungeni wamelewa, mara Rais anaweza tumbua baraza lake la mawaziri hodari, na hili sasa!, sijui nini kinafuata...

Au ndo tusubiri kusikia The Boss anajipanga ku run 2020 🙂
 
unataka kugeuza jf kuwa baraza la kahawa,haiwezekani hata kidogo.umebugi meeen
 
Umaskini wetu ni matokeo ya akili zetu na akili zetu ni matokeo ya Umaskini wetu!
 
Watu mna chuki binafsi sie tumeanza kumjua Bakhresa toka ameingia toka Pemba na kuanzisha restaurants zake mbili za Nawaz na Azam.. Nyie watoto wa kizazi kipya mlikuwa bado makinda.. Ice cream ilikua mansfield pale mjini na kwa Azam tu!! Hayo mnayovumisha ni blah blah tuu..
 
Hiyo assertion haina ukweli, ifute.

Una maana gani ni nadra kwa nchi kuwa na tajiri mkubwa kama Bakhresa, duniani Bakhressa tajiri?
Umesoma nusu.. amemalizia hapo china..
lakini ni haonekani...
 
VITU VINGINE UPUMBAVU TUU,WEW KULA NYANYA ZAKE SIKU UKIFA ATAONEKANA KWAKO,THEN WEKA THREAD NYINGINE KAT YA MENG NA BH NANI TAJIRI???FOOLISH
 
*Kwa kigezo gani unamuwazia Bakhressa kuwa ni gaidi? Au jina la kiislam na kwa vile mumemezeshwa kuwa waislam wote ni magaidi?*

Sijui kama thread kama hii ilishawai anzishwa hapa j.f,

but i am curious to know who is s.s.bakhresa.......

Ni mtazamo tu wana j.f, kama una la kuongeza weka hadharani isije kuwa ni gaidi kama Osama bin Laden.
 
Watanzania wengi wana akili za kinyumbu,hasa nyumbu hao utawaona jins comments zao,yaan wewe mchwara huna chochote unabaki kumuelezea utajiri wa mtu,hata km wa tomato mbona wewe huna,acheni unyumbu jamni
 
ACHA ROHO MBAYA,NAWE SINDIKA MAANDAZ UWE TAJIRI_NYUMBU JIKE ULIYEKOSA UZAZI
 
Wengine Bakhresa Mnamjua kijuu juu tuu,hata kama alifanya bishara ya kuuza vyungu ila alikuwa na akili,leo hii wangapo Mitaji ya kuanzisha biasha wanalewea Pombe tu,na wengine wamenunua Simu kwa bei ya Mtaji wa kuanza Biashara,halafu unasikia Maisha Magum.
Tunamsema Bakhresa leo kwaku amefanikiwa,ila wakati ana strugle hakuna aleikuwa anamajua.Ila leo ndio tunamjua saana na tunamjadili Saana.
Kwanza huwezi kulinganisha Bakhresa Na Mzee Mengi,ni Sawa na Ali Kiba na Diamond.
Bakhresa lazima aonekane,yeye sio malaika na kila mtu na mfumo wake wa maisha,na mafanikio ya Bakhresa yako zaidi kwenye Local Communities,mara kibao anapanda Boti zake mwenyewe,We ukijifanya Tajiri hutaki kuonekana basi siku ya kufa utaonekana hadi na sisimizi.Nakupongeza sana Bakhresa kwa kuwa karibu na watu wa kawaida.

Tufaham Kwanza Bakhresa ni Risk Taker wa uhakika hasaa huyu Jamaa.
Na kwa wale mnaokariri kwa kusoma kwenye vitabu vyenu na kuleta formula za biashara kwa huyu jamaa hazi apply kabisaa.
Kwa sie tunaosafiri Nchi Jirani ni kwamba unaweza kukuta Trailers kibaoo,urefu mpaka macho yanauma kwa kuangalia umbali zilivyopanga zinasuribia kuingia Nchi za Jirani,anaheshimika huko na wanatia Adabu.
Na kama unataka kujua huyu jamaa ni Risk taker,soma Historia ya kuanzishwa biashara zake ambapo alitumia wasomi waliobobae ili kufanya study ya biashara husika,jibu walilompa ilikuwa kwamba biashara haitalipa na ni ya hasara kwa muda huu,alichofanya yeye sasa,Alitoa Capital na kusema ifanywe hivyo hivyo maana akili yangu inaniambia inalipa,sasa wale wasomi mwisho wa siku wakaumbuka na Elim zao na jamaa aka pick mpaka leo na faida kubwa tu.
Sasa Elim iendane na uhalisia,kusema anafanyabiashara kizamani wakati ni Billionaire na wewe upo unazubaa hapo na elim yako,sasa nashindwa kukusoma.
Kiwanda Cha Maziwa Kilichopo Zanzibar,ni kiwanda Bora kwa Afirca Mashariki na ni kiwancda chenye Mitambo ya kisasa na Bora kwa Ukanda Mzima wa Africa.
Issue ya Kodi,sio yeye ni wahusika waliopo kwenye usimamizi wa Taasisi zake.
Na fuatilieni Records za TRA mtaona jamaa kwamba ni mlipaji mkubwa sana wa Kodi.
Nyie pigeni zogooo na Elim zenu,tuone mwisho wake,wasiosoma ndio haoooooo
Masanja Mkandamizaji hajasoma huyooo,Diamond hajasoma huyoo leo anapiga kizunguuuu na na ni Billionaire.
Hahaha Nyie karirini tu,Maisha ni Kujipanga
Mleta Post lazima takuwa anaishi Dar,tena Mwanaume
 
Mkuu acha chuki zako.
Bakhresa hafanyi Biashara sehem zenye watu wenye kufanya kwa kiasi na ubora kama yeye.Unaujua Ubora wa AZAM Media kwa Africa au unausikia tu kwakuwa upo hapa Bongo kimtindo.Pata Bahato nenda hapo tu Uganda utajua.
Ubuyu na Chapati,Matajiri wangapi wamefanya hivyo?
Sasa yeye kutumia Fursa imekuwa Nongwa,Angekuja Mzungu tungeanza kusema ahhh matajiri wa Kibongo wameshindwa kufanya hata hili.Na kwanini Ubuyu isiseme Ice Cream pia aache,maana hata mitaani mashine tunazoe za 5m tunauza.
Hivi Ubuyu na Tomati Paste utofauti upo wapi,Mbona Tomato Paste zinatoka Uarabuni na mtajiri wa kibongo wapo tu,sasa yeye kuanzisha biashara kwa kutumia ubora wa kimataifa inakuwa Nongwa.Mbona wengine Mmekimbia makwenu vijiji kuja Dar,na nyie sheria ianzishwe au,maana Dar kwenyewe kunawashida na mliowaacha vijiji wakija wanatusia.
Huwezi ku regulate biashara kwa uzembe wako wa kufikiria,kwani nani kamkataza mwezake kufanya biashara,nchii ni biashara huria na huyo ni Mtanzania.
Wazungu wangapi wanamili Mahotel makubwa na Makampuni Ya Utalii hapa Nchi.
Ili Ujinyonge tu,ni Kwamba Kuna Bonge La Hotel analijenga Zanzibar la nyota 5 litakuwa na vyumba mpaka kwenye maji,amenunua Hotel kwa Billions of Money na kuibomoa yoote lengo ni kupata eneo tuu,hahaha aisee huu mtu mwacheni kabisaa.Atafanya Biashara anayotaka yeye na sio Mnayopanga nyie.Bakhresa Also Know as Mr.Risk Taker asiekosea
Wabongo Kila biashara mnasema Pasua kichwa,hahahah aiseee
 
Huyo sio wa dar tafadhari,watu wa dar tunatumia akili nyingi kutafakari kabla ya kutoa povu,huyo atakua wa arusha labda.
 
MUNGECHEKELEA KUCHUKUWA..
 
Umasikini ni mbaya sana
Siku zote lazima utamchukia tajiri
Sipendi kuwa masikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…