Who is Said Salim Bakhresa (Azam)?

Fursa haina limitation kwenye mambo ya halali
 
sikuwahi kujua kama una ile chuki binafsi banza stone

Namkubali Bakhresa kuliko matajiri wote East Africa
ila bado kuna mambo anayafanya kizamani au labda kiaina yake
mfano jiulize je Azam si brand? je ni busara kuwa na timu ya mpira kuiita Azam?
halafu wanaitangaza NMB? uliona wapi Brand ikatangaza Brand ingine?
why timu isiitwe mfano Mbagala United halafu itangaze brand ya Azam?
 
Mkuu me naona tatizo ni Azam as a football team kutangaza brand zingine ambazo zinatoa service zinazofanana na wao. mfano kutangaza Pepsi, coca au maji lakini kwa bank sidhani kama ni tatizo
 
Mkuu me naona tatizo ni Azam as a football team kutangaza brand zingine ambazo zinatoa service zinazofanana na wao. mfano kutangaza Pepsi, coca au maji lakini kwa bank sidhani kama ni tatizo

Mkuu thamani ya Brand ni pamoja kuhakikisha inakuwa mbele ya Brand zingine
hata kama biashara ni tofauti
Nike hawawezi tangaza pepsi hata kama biashara tofauti
Bakhresa anakosea kuweka biashara yake yote kwenye Brand moja
ina maana kashfa yoyote ile inaathiri biashara zote....mmfano ishu ya makontena
ni vizuri baadhi ya biashara ziwe na brand zake
 
azam wenyewe wanaita ndo flagship yao
 
Si kweli kwamba akifa biashara itayumba coz yeye kwa sasa hajishughulishi kabisa na kazi amewaachia wanae
 
Na biashara zake zipo kisasa kuliko wafanya biashara wengi
Najua huwezi kuamini ila Bakhresa amejipanga kuliko Mengi au Mo
 
Lakini Azam na NMB hazifanyi biashara za kufanana japo zote ni Brand so sidhani kama kuna tatizo
 
Bakhresa i believe ni second to Dangote in Africa..
Mo na Mengi ni wadogo mno kwake
tatizo bado kuna vitu tu vidogo anakosea

Si kweli kwamba akifa biashara itayumba coz yeye kwa sasa hajishughulishi kabisa na kazi amewaachia wanae
Ni kweli bakhressa kwa sasa biashara karibu zote zinaendeshwa na watoto zake na wamegawana vitengo kwa mfano yule yusuf wakala wa mambo ya mpira amepewa azam tv ndio msimamizi mkuu na uzuri huyu mzee kasomesha watoto zake hadi vyuo vikuu marekani.
 
Sio Nyerere, ni Mwalimu Nyerere Baba wa Taifa la Tanzania.

Hilo la ubaba huko huko makanisani ndiyo kuna baba askofu, kuna baba Mtakatifu, kuna baba (padri). Wote hao hawaruhusiwi kuzaa lakini mnawapachika u baba.

Kiislamu baba yetu ni mmoja tu, yule aliyetuzaa tu.
 
Gaidi?
Acha chuki za kidini. Angekuwa m.ga.la anasaidia jamii ungehoji?

Hizi ni chuki tu na kifikiri kinyumenyume

Fanyakazi.think +ve
 
Sio. Lazima kununua nazi au nyanya zilizosindikwaa nasio watu woote hununua hizo bithaa so muache mzee wawatu afanye yake nawauza genge na chapati wafanye yao
 
Acha ubaguzi udini
Think+ve

Hilo la ubaba huko huko makanisani ndiyo kuna baba askofu, kuna baba Mtakatifu, kuna baba (padri). Wote hao hawaruhusiwi kuzaa lakini mnawapachika u baba.

Kiislamu baba yetu ni mmoja tu, yule aliyetuzaa tu.
Nchi haina dini hii Baba Wa Taifa la Tanzania ni Mwl Nyerere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…