Mimi wala sibabaiki na Bakharesa mwendo wangu ni uleule kaka nala vitu fresh, kama chapati natengeneza nyumbani, nynya na matunda nanunua na kusaga juice mimi mwenyewe. who is bhakhresa to me? Aisklimu hata za wachina zipo
Sijui kama thread kama hii ilishawai anzishwa hapa j.f,
but i am curious to know who is s.s.bakhresa.
Najua ni nadra sana kwa nchi yoyote kuwa na mtu ambaye ni tycoon na such a biggest business man kama bakhresa
lakini hajawahi kuonekana hata sehemu moja kwenye shughuli za kijamii.
Sijawahi kumsikia akizungumza mahali, wala kuonekana picha yake mahali popote zaidi ya passport yake kwenye website yake na
picha moja kwenye mazishi ya mwanae Khalid.
Tofauti na ilivyo kwa wafanyabiashara wengine hata wale wa asili yake kama akina dewji, rostam, manji etc.
Na pia sifurahishwi na huyu jamaa kuwa producer wa kila kitu hapa tanzania, yaani mpaka chapati na nyanya,
je mamlaka zinazohusika hazina uwezo wa kuainisha hili??
Leo hii akitawala soko la chapati, nyanya, na mpaka nazi zote yeye, je hi sio hatari kwa kina mama wauza chapati?
Na wale wenye magenge ya nyanya na nazi si watafunga magenge yao??
Ni mtazamo tu wana j.f, kama una la kuongeza weka hadharani isije kuwa ni gaidi kama Osama bin Laden.

Kimsingi bakhresa ni tajiri wa kizamani
elimu yake iko limited.
Biashara zake bado hazijakuwa za kisasa sana
hajui wala hana interest ya ku inluence watu kama mengi mfano...
Sura yake inafahamika kwa viongozi wote na wadau wake
na wale wanao mjua toka zamani...
Anaishi maisha ya kawaida,ni rahisi kumuona kuliko mengi mfano......
Biashara zake ni kubwa sana,nyingi ya biashara amefungua kutokana na kuwa
zina relate na biashara za mwanzo
mfano chapati,inatokana na biashara ya ngano ambayo yeye ndo supplier
mkubwa africa........
Nyanya inatokana na yeye kununua matunda ya juice za box so
akinunua na nyanya,anaipack na kuiuza.....
But pamoja na yote hayo...
Biashara zake zipo kizamani bado....
Akifa yeye leo kampuni yake itayumba saana.....
Na kuwa na biashara nyingi kuna punguza ufanisi kwenye biashara kuu
Nakumbuka wakti mmoja ngano yake shena nzima ilimwagwa jalalani chini ya ulinzi mkali. Sijui he rubbed shoulders the wrong way au vipi. Anyway in his usual customary down to earth manner kashitaki kwa mwenyezi Mungu.

hahaha mkuu ... kwani huo unga unaotumia kutengeneza chapati ni wa NEMBO GANI.... hahaha huwezi kumkimbia baharesa wewe.....kubali tu
jamani kama hamuwezi lugha za watu, please andikeni comments zenu kwa kiswahili tu basi. This isn't english at all.Bussiness and socialogy are two different profenals which however depend on each other.So a bussinessmen must interact with society to so as to enhance market.
Kimsingi bakhresa ni tajiri wa kizamani
elimu yake iko limited.
Biashara zake bado hazijakuwa za kisasa sana
hajui wala hana interest ya ku inluence watu kama mengi mfano...
Sura yake inafahamika kwa viongozi wote na wadau wake
na wale wanao mjua toka zamani...
Anaishi maisha ya kawaida,ni rahisi kumuona kuliko mengi mfano......
Biashara zake ni kubwa sana,nyingi ya biashara amefungua kutokana na kuwa
zina relate na biashara za mwanzo
mfano chapati,inatokana na biashara ya ngano ambayo yeye ndo supplier
mkubwa africa........
Nyanya inatokana na yeye kununua matunda ya juice za box so
akinunua na nyanya,anaipack na kuiuza.....
But pamoja na yote hayo...
Biashara zake zipo kizamani bado....
Akifa yeye leo kampuni yake itayumba saana.....
Na kuwa na biashara nyingi kuna punguza ufanisi kwenye biashara kuu
Fanya utafiti ndugu yangu.Bakhresa unayemzungumzia wewe hapa ni wa ki-tambo sana.Biashaya ya huyu bwana ime-evolve sana na ninavyokueleza sasa si kweli kama akifa yeye leo biashara yake itakufa.Kama alivyochangia mmoja wetu hapo juu watoto huyu jamaa wameenda shule ya maana.In fact kaajili watu wa maana sana ambao wamesaidia katika maamuzi na kufikisha makampuni yake hapa yalipo.
Acha kuhadaa watu bana. Jee, Bahkresa bidhaa zake zinauzwa kwenye supermarket chains kama Shoprite, Shoppers Plaza, Imalaseko, etc? Binafsi sijawahi kuona. Huo unga wa ngano utakuwa ule wa kupima na mizani kwenye maduka ya Wapemba, ambapo Mohammed Enterprises naye anauza unga kama huo.
UKWELI BAKHRESA ANABAKI KUWA NI MMOJA KATI YA WAFANYABIASHARA WAKUBWA TANZANIA WALIOWEZA KUPENYA NJE YA SOKO LA TANZANIA. nakubaliana na wewe Bakhresa na timu nzuri sana ya Utawala. na anawalipa vizuri sana. Kama mabepari wengine duniani kote wataalamu wake wenye mishahara mikubwa wanabebwa na wafanyakazi wa chini walio wengi wanaobanwa katika malipo.. Na hizo ndizo sifa za bepari yeyote.Naomba nitofautiane nawe katika hayo, S. S. Bakhresa amejaaliwa watoto wema na wote wana elimu zuri kiasi chao, Mwanae mmoja Abubakar ndiie anaendesha division yote ya Ngano Tanzania na nchi ya kusini mwa Tanzania, mwanawe mwingine Omar anaendesha Transport Division pamoja na viwanda vya packing and packaging, Mwanawe mwingine anaendesha kiwanda cha ngano cha Uganda na Biashara za Kenya. Licha ya hao, Bakhresa ameajiri wataalam wengi waliobobea na wanaojaribu ku modernize biashara zake kwa kiwango juu, kwa mfanokiwanda cha ngano cha Tazara ni moja kati ya viwanda vya kisasa kabisa vya ngano Afrika. Licha ya hao, Bakhresa ana wafanyakazi wake loyal alioanza nao toka zamani sana na wapo nae bega kwa bega.
Ni mmoja kati ya matajiri anaejali sana wafanya kazi wake.
wanachotakiwa kufanya hawa matajiri wetu nikuwekeza katika infrastructure za nchi eg Treni kama alivyosema mkubwa mmoja hapo juu zitusaidie wote wananchi pamoja na yeye kusafirisha bidhaa zake,these guys they got billions of money they can manage easily
Nakumbuka wakti mmoja ngano yake shena nzima ilimwagwa jalalani chini ya ulinzi mkali. Sijui he rubbed shoulders the wrong way au vipi. Anyway in his usual customary down to earth manner kashitaki kwa mwenyezi Mungu.
usifanye mchezo na hela za majini. Ni duka gani la Bakhresa lenye muuzaji mwanamke?