Who is Said Salim Bakhresa (Azam)?

mkuu kuhusu kodi
tazama rekodi za tra
bakhresa ndio mtanzania individual anaelipa kodi nyingi kuliko wote

na kampuni yake ni ya tatu
baada ya ttc na tbl
hilo si jambo la kushangaza-ni jambo la kutegemea maana kama anauza kila kitu,asingekuwa naongoza tulitakiwa tuanze kuhoji
 

usiongee kwa chuki..
Bakhressa ni tajiri wa viwango vya kimataifa

Kha naona mzazi unajimix kweli kweli
 
hapo kwenye tajiri wa kizamani
elimu yake iko limited.naomba niende mbali zaid-ni hiv mashuhuda mbalimbali(vbarua)ambao amefanya nao kazi kwa mda mrefu wanadai jamaa bado anaamini ushirikina zaid ktk biashara zake.kwake elimu na maarifa sio kitu.majin na makafara mbalimbali ndio tegemeo lake kuu.kama sipo sahihi mnirekebishe.
 

mkuu kile ambacho wewe unaweza kuita ushirina
wengine wanaweza kuita ni mila au tamaduni
kwapemba wana culture zao hata walioenda chuo kikuu na kuishi ulaya
wanazifanya
 
Kha naona mzazi unajimix kweli kweli

sijamix
unaweza kuwa na kiwango cha kimataifa
kwa ukubwa wa biashara
mfano nigeria,nchi kubwa na biashara zao wengi ni kubwa
lakini sio modern kwa efficiency
 
Achana na Bakhresa wewe. Hakuna mfano wake hapa TZ. Si mtu wa kujisifu ni mtu wa vitendo. Sisi WaZENJ tunampa salute.
 
The Guy is Rich, very RICH, nyinyi mnapeleka watotowenu kusoma kenya yeye watoto wake walisha maliza huko. madalasa yapo ya kutosha tu kwa watoto wake na ndio wameshika mipini I like the Guy sababu ameinvest kwa watoto na anakamata soko lote huwezi kuishi bongo bila kumchangia. Ameinvest sio bongo tu kenya, rwanda drc nk nk. Nilikuwa namchukia sababu ya kuajili wakenya wengi kuliko wabongo but now i admire and understand him
 
Said Salim Bakhresa ni mfanya biashara mkubwa na analipa kodi kwa serikali mbalimbali Afrika mashariki na ya Kati pamoja na kutoa ajira kwa maelfu ya watu kanda ya Mashariki na kati ktk bara la Afrika. Shughuli zake za kibiashara ni hizi zifuatazo:

Grain Milling & Storage
Zanzibar Milling Corporation Ltd Zanzibar, Tanzania


Food Products
Bakhresa Food Products Ltd Dar es Salaam, Tanzania

Bakery Division
Azam Bakeries Company Ltd Dar es Salaam, Tanzania

Distribution
Bakhresa Food Products (Z) Limited Zambia

Speciality Packing
Paperkraft International Ltd Dar es Salaam, Tanzania

PET Recycling Project
Bakhresa Food Products Ltd Dar es Salaam, Tanzania(Plastic Recycling Division)


Logistics & Transport
Azam Marine Company Ltd Dar es Salaam, Tanzania


Telecommunications
Satafrik Tanzania Ltd
Dar es Salaam, Tanzania


Real Estate
Tacona Holdings Ltd
Dar es Salaam, Tanzania


Source : :: Bakhresa Group ::

Said Salim Awadh Bakhresa Profile:

SAID SALIM AWADH BAKHRESA, Chairman, Bakhresa Group of Companies SAID SALIM AWADH BAKHRESA is the founding father and the Chairman of the Bakhresa Group Of Companies. He is a well-known industrialist in the mainland of Tanzania and island of Zanzibar. With a humble beginning as a small restaurateur in seventies, he created the business empire within a span of three decades. He is the mastermind behind the success of all the businesses within the group. His vision and excellent managerial skills contributed to the growth of this group to great heights.
[/h]

Senior Management team:

MOHAMED SAID BAKHRESA

MOHAMED SAID BAKHRESA is the Managing Director of Bakhresa Grain Milling (Uganda) Limited and is the Executive Director Of Said Salim Bakhresa & Company Limited. He is also holding Director-Ship in most of the Group Companies. Mr Mohamed is a graduate in finance, law and accounting from Southbank University, United Kingdom.He is a well-known industrialist in Uganda and Tanzania and is successfully managing Bakhresa Grain Milling (Uganda) Limited, which is the largest wheat milling industry in Uganda. Mr Mohamed is also actively involved in the policy decision making process of the Bakhresa Group Of Companies.


OMAR SAID SALIM BAKHRESA

OMAR SAID SALIM BAKHRESA, a Mechanical Engineer, is the Executive Director in charge of the Logisitic Division of Said Salim Bakhresa & Co Ltd. He has over a decade of experience in logistics & transportation industry.



ABUBAKAR SAID SALIM BAKHRESA

ABUBAKAR SAID SALIM BAKHRESA is the Managing Director of Bakhresa Grain Milling (Malawi) Limited and Bakhresa Grain Milling (Mozambique) Limitada. He also acts as Executive Director of Said Salim Bakhresa & Co. Ltd. Mr. Abubakar has done his B.Sc in Business Administration, majoring in Finance from Georgetown University, Washington D.C., USA. He is primarily involved in the wheat milling businesses of the Group and looks after the wheat procurement for the Group.



YUSUF SAID SALIM BAKHRESA

YUSUF SAID SALIM BAKHRESA is the Managing Director of Bakhresa Food Products Limited and is holding Director-Ship in other Group Companies. He is actively involved in the day to day operations of Bakhresa Food Products, which is based in Tanzania and is successfully managing its operations.
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Chapati unatengeneza kwa unga gani? Umeulizwa who is Bakharesa? sio lazima uwe mtumiaji wa bidhaa zake ndio umjue. We kweli wakichina hata ice cream nayo unataka feki duh!
 

Nieleze kwanini Steve Jobs alirudishwa kuwa CEO wa Apple?Ila kwa kumbukumbu
yangu sidhani kama Steve Jobs alirudishwa Apple kwa sababu yeye alikuwa ni mmoja
wa waanzilishi.Niko tayari kurekebishwa!Na ungenipe source ya yote utakayonieleza
nitashukuru!
 

HALAL ni trade make ya kuonyesha kuwa hiyo product imetengenezwa kwa kufuata misingi yote ya kiislam
 


You do not need to say more!
 
Mkuu umesema hata picha yake haionekani zaidi ya kwenye passport! Huyu hapa:
 
Mkuu ktk hili sawa lkn je ndani ya utajiri wake hamna mwekezaji asiye mzawa? kama toka oman au sa? isijekuwa amesisima ktk mabega ya watu ili aone mbele! sijui!!!
CHAMBILECHO!!!!!
 

Akifika level za kuingia forbes, the forbes watamjua tu si lazima waje! kwani huko naijeria waliwajuaje?
 
Hiyo assertion haina ukweli, ifute.

Una maana gani ni nadra kwa nchi kuwa na tajiri mkubwa kama Bakhresa, duniani Bakhressa tajiri?

Inasaidia sana kujifunza kwa waloifanya majaribio kabla yako! HISTORIA isingekuwa na maana kama tusingekubali kuwa KILA JAMBO JIPYA HUWA NA MWANZILISHI.....TUJIFUNZE KWENYE UZAMANI WA UENDESHAJI WAKE WA BIASHARA ZAKE NA TUANZIE HAPO.....WE LEARN FROM OTHER PEOPLE"S MISTAKES
 

Kwa hali hii ana haki ya kuwa successful ktk biashara zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…