Who is sodoka in JF?

Who is sodoka in JF?

Julius Husseni

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
1,435
Reaction score
1,192
Kwa Mwenye uelewa uyu Jamaa multipurpose uyu sodoka wawap ana Kaz gan ?
 
Humu kuna ushirikina, watu wanapiga RAMLI, mchana wa jua kali.
 
SodoKa ni laprofeserii kila kitu anachangia jukwaa la elimu na vyuo vyote anavifaham nje ndani, sema inaoneka ni hawa walimu wa arts waliokosa ajira toka mwaka 2014
 
SodoKa ni laproserii kila kitu anachangia jukwaa la elimu na vyuo vyote anavifaham nje ndani, sema inaoneka ni hawa walimu wa arts waliokosa ajira toka mwaka 2014
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji4] [emoji4]
 
kweli kabisa hako kasodoka niliona kanaposti kwamba anatafuta vijana wenzake ili waanze ujasiliamali nilivyo kasoma hako kadogo kanaonekana hakana ajira. SODOKA NI KADOGO KALIKO KOSA AJIRA NA KUINGIA JF KWA AJIRI YA KUJIFARIJI.
 
Hahahah uyu Jamaa sio bure koz kila kitu anakijua
 
Back
Top Bottom