Suala la pembe za ndovu ndio litaamua nani ni superpower kwa nguvu ya hoja. Maana hapa nguvu ya hoja ni kutetea maslahi yote y a kiuchumi ya nchi husika.
Hivyo nchi itakayokuwa kila mara ina tetea maslahi yake ya kiuchumi kwa 'nguvu ya hoja' maana kila wakati kutaibuka masuala ya 'kutetea uchumi wa nchi husika' inabidi Tanzania ione mbali na kuwa na 'mangi-meza' (bureaucrats) wengi ambao ni pro-active ktk kutetea masuala ya ardhi, ajira,utalii, viwanda, biashara, madini, mashirika/kampuni za kitanzania, maliasili n.k