WHo is this Bongo celeb?

Ni Baba yake na Banana Zoro, Mzee Zahir Ally Zorro!!!
 
huyo ni muimbaji wa...Cleoptra alikuwa mtawala wa misri..kipindi kirefu nyuma..kabl hajazaliwa masiah...

anaitwa Zahir Ally Zorro
 
huyo ni muimbaji wa...Cleoptra alikuwa mtawala wa misri..kipindi kirefu nyuma..kabl hajazaliwa masiah...

anaitwa Zahir Ally Zorro

Sio huo tu ana kipaji cha kuimba nyimbo za hisia aliimba pia homa ya mapenzi, zinduna,sophi na uzuri wa tausi, zitafute ni nyimbo tamu sana.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…