Who is this man (the Chief Justice of Kenya CV) Dr. Willy Mutunga?

Who is this man (the Chief Justice of Kenya CV) Dr. Willy Mutunga?

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
Nairobi, Kenya
March 18, 2013

The presidential petition against the election of Uhuru Kenyatta has now been gazetted.

The petition was published in the Kenya gazette as parties in the petition prepare for the precedent setting legal battle.

The petition will put into sharp focus the six judges of the Supreme Court more so its president Dr. Willy Mutunga. But who is this man Mutunga? Please watch this vjdeo clip below

source:standardgroupkenya youtube
 
Last edited by a moderator:
A very strong man with outstanding decisions. Subirini mtaona ya Mutunga
 
A very strong man with outstanding decisions. Subirini mtaona ya Mutunga

Moja ya sifa za huyu jamaa ni kwamba kesi ikiwa mikononi mwake hanaga masihara hata kama ni ya baba yake mzazi hakuna upendeleo.
 
nagojea kwa hamu ili nijue ukweli kuhusu uchagizi. peace na haki katika kenya
 
Historia ya Dr. Mutunga inaonesha ni mtu makini, mwenye msimamo na hatetereki katika kufanya maamuzi magumu hata kama yanakinzana na wenye mamlaka ya utawala wa nchi. Kutokana na hayo imani juu ya mahakama ya upeo (supreme court) chini ya Dr. Mutunga ni chanya na pengine itapelekea pia kuwafanya majaji watano wa Mahakama ya Upeo kupiga kura zao kwa usahihi kuhitimisha maamuzi mazito juu ya mtafaruku wa matokeo wa zoezi la kupiga kura za uchaguzi ulivyofanyika.
 
Moja ya sifa za huyu jamaa ni kwamba kesi ikiwa mikononi mwake hanaga masihara hata kama ni ya baba yake mzazi hakuna upendeleo.

Wabongo bhana wataalamu wa kila kitu!
 
Back
Top Bottom