Sophist
Platinum Member
- Mar 26, 2009
- 4,486
- 3,408
Please, kuna anayejua matokeo ya Kura ya Maoni yanayotarajiwa kutolewa hivi karibuni na Kampuni ya Snovate (zamani Steadman)? Nani anaongoza kura hii ya maoni baina ya wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kura ya maoni iliendeshwa kati ya September 3-11. CCM wameishajua kilichomo na wameanza mkakati kukabili matokeo yeneywe, kwa upande mmoja, na madhara ya matokeo hayo kwa upande mweingine.
Mwenye taarifa azirushe humu ndani.
Mwenye taarifa azirushe humu ndani.