Kuna moja imerushwa na member mpya sasa hivi(ni ya usalama wa taifa!)...inataka moyo kuiamini, lakini huenda ina ujumbe ndani!Please, kuna anayejua matokeo ya Kura ya Maoni yanayotarajiwa kutolewa hivi karibuni na Kampuni ya Snovate (zamani Steadman)? Nani anaongoza kura hii ya maoni baina ya wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kura ya maoni iliendeshwa kati ya September 3-11. CCM wameishajua kilichomo na wameanza mkakati kukabili matokeo yeneywe, kwa upande mmoja, na madhara ya matokeo hayo kwa upande mweingine.
Mwenye taarifa azirushe humu ndani.
The guardian on sunday wanasema 85% ya waliohojiwa wanasupport ccm na chadema na kuna difference ya 3% between ya two parties lakini who is leeding between the two is not known, may be chadema ndio maana hawajatoa matokeo