Who is Who, Nani wa kujifunza?

Ardhi mumewapa wazungu, chakula mnategemea Tanzania, stupid.
Nilikuuliza kwa Uzi mwingine unipe ushahidi kuwa wanafunzi wa Kenya wanasomea mashule ya Tz ukahepa uziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Chakula tunanunua Tanzania, Mozambique, Zambia, Uganda na Mexico πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

ATCL imekamatwa juu ya deni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…