Nmeona mkuu, hapo Wentworth Miller anamkalisha Cilian mapema tu.Ilikuwa uchague Kati ya hao wawili tu
Wentworth anajua kuuvaa uhusika wa aina moja tu...Nmeona mkuu, hapo Wentworth Miller anamkalisha Cilian mapema tu.
Hahahah hatari kitu 'unstopable'Denzel Hayes Washington Jr, hunambii kitu.
Nawe tupe mwongozo actors bora kwako lo
Wengine tunawaonagsp tu kwa muvi hatujui majina yao waweke picha zao tuwaone
Wote wanajitahidi...Nawe tupe mwongozo actors bora kwako lo