Hahahah sio theodore bagwell. . . aka t bagPeak blinders niliishia episode ya 3. Sikuelewa kbsa nikaachana nayo.
Kwenye Prison Break namkubali Alexander Mahone
T-bag anaudhi sana. Ana uhuni uliovuka mipaka mpaka unakeraHahahah sio theodore bagwell. . . aka t bag
Denzel WashingtonNdugu zangu naomba tuchangamshe genge kidogo Kati ya waigizaji hawa wawili Nani unamkubali zaidi
1. Cillian Murphy a.k.a jina maarufu wengi wanamjua kama TOMY SHELBY kwenye peak blinders .
2. Wentworth Miller aka MICHAEL SCORFIED kwenye prison break
Wa juuu anajulikana kwa unababe katika biashara na umafia wa pili kwa kutumia aklili vizuri je Nani unamkubari
Hatuwezi tukawashauri ata wacheze series ya pamoja wakicheza unaona itafana?