Yeth lottah
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 1,405
- 2,229
- Thread starter
-
- #21
Mechi alishawahi kutangaza?Shaffih dauda
John champion na Jim beglinAndy Gray, kitambo sana watu wa fifa watanielewa
Kweli we mdauJohn champion na Jim beglin
John champion huwa yupo na Kelvin kilbane jamaa aliyekuwa mchezaj Wa Blackburn roversJohn Champion na Jim Beglin hawa wako vizuri sana.
Alafu huyo John Champion siku hizi simsikii kabisa.
Hawa wakitangaza match huwa timu yangu kupata ushind inakuwa ngumuPeter Drury akiwa na Jim beglin aah naenjoy sana mechi
hahaha[emoji28][emoji23][emoji28]Hawa wakitangaza match huwa timu yangu kupata ushind inakuwa ngumu
MECHI YA BOURNAMOUTH NA ARSENAL ALITANGAZA J.CHAMPION ILE ARSENAL ALIKOJOLEWA VIWILI!John Champion na Jim Beglin hawa wako vizuri sana.
Alafu huyo John Champion siku hizi simsikii kabisa.
Umeona game LA Leo Southampton na spurs, nimewapa tu over 2.5 imegoma dah huwa wakianza kutangaza naanza kukata tamaahahaha[emoji28][emoji23][emoji28]
hahaha poleh chiefUmeona game LA Leo Southampton na spurs, nimewapa tu over 2.5 imegoma dah huwa wakianza kutangaza naanza kukata tamaa
Ben kiko, dominic chilamboAhmed Jongo
Ezekiel malongo
Charles Hilary
Pascal Kabombe
Baraka mpenja
Baruan muhuza
Hao ze best plus championPeter Drury akiwa na Jim beglin aah naenjoy sana mechi