The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Kelvin kilbane namkumbuka ni mashoto , watu wengi uwa hatusikilizi matabgazo , tunaangalia analysis kwa hiyo hapo football pundits wanahusika kina garry linekerJohn champion huwa yupo na Kelvin kilbane jamaa aliyekuwa mchezaj Wa Blackburn rovers
Prutton, jamaa alikuwa Southampton, naye pia ni pundit Wa sky sportKelvin kilbane namkumbuka ni mashoto , watu wengi uwa hatusikilizi matabgazo , tunaangalia analysis kwa hiyo hapo football pundits wanahusika kina garry lineker
ok sema huyo jamaa sikumkumbuki, namkumbuka Matt le tissier (Saints), Alain shearer , tim sheerwood , chriss Sutton wote walikuwa Blackburn na ni pundits wazuriPrutton, jamaa alikuwa Southampton, naye pia ni pundit Wa sky sport
Umenikumbusha pana clip moja mwarabu anatangaza goli kafunga Pirlonapenda wakitangaza waarabu hasa zikicheza timu kama barcelona, real madrid, juventus, PSG, chelsea
to this ttwqtqtq5tatgqqMartin Tayler is the best.
Nadhani umewaona wavuta bangi sababu tu ni WatanzaniaList ya wavuta bangi wenzio sio mkuu?
Kweli kabisa, Andy Gray alikuwa mkali sana, basis tu ile skendo ilifanya Sky sports wavunje mkataba Nate, nilisikitika sanaAndy Gray, kitambo sana watu wa fifa watanielewa