Ilongailunga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2012
- 1,388
- 896
Vijana wa zamani hatuwezi kumsahau Tommy Smyth wa ESPN kwenye champion leaguePeter dury + Jim beglin
John Champion + Jim beglin
Watu wa SuperSport na PES games bila shaka mnawajua balaa lao, sema John siku hizi simsikii.
John Champion[emoji777]John Champion na Jim Beglin kwenye PES 15 wametisha sanaaa
World Cup ya mwaka gani?
....the ruins of roma have risen...peter drury.Wadau wa soccer njoo hapa tukutane tutoe mawazo yetu yupi ni mtangazaji bora wa mpira ambea huwa unavutiwa kumusikiliza?
10.DAVE FERRAL
9.JP DELLACAMERA
8.ANDRES CANTOR
7.STEVEN BOVER
6.JOHN STRONG
5.PHIL SCHOEN
4.INAN DARKE
3.DEREK RAF
2.JOHN CHAMPION
1.MARTIN TAYLER
Kwangu mimi JOHN CHAMPION namuona ndyo the best na wewe je?
Huyu sidhani kama ni mtamgazaji. Kikawaida siku hizi kuna mtamgazaji na muelezeaji. Townsend ni muelezeaji, aka pundit.Andy tawsend
Supersport
Nimemshangaa sana aisee... Peter Drury na Jon Champion ndiyo my favorite commentators....the ruins of roma have risen...peter drury.
Nashangaa kwenye list yako hayupo.
Hao siyo ma commentanterAhmed Jongo
Ezekiel malongo
Charles Hilary
Pascal Kabombe
Baraka mpenja
Baruan muhuza