Hahahha eti tunapiga story kama muhuni tuMimi namkubali Joanah ,, huyu mrembo anaonekana hana pigo za kislay queen,pia anaonekana anafuatila mambo mengi sana hata ukiwa nae mtapiga story kama muhuni tu
😘Ahsante jamani[emoji7][emoji7]
[emoji1545][emoji8]
pia unanibambaga sana kwenye ule uzi wa karibuni ndugu zanguni...Ila umepotea sana kule mkuu tumemisi mambo yako yale
Uzi wa karibuni ndugu zanguni ni upi huo?😀pia unanibambaga sana kwenye ule uzi wa karibuni ndugu zanguni...Ila umepotea sana kule mkuu tumemisi mambo yako yale
Nilivyoona tu thread niliwaza kukutag wewe kwanza, luckily nikapata umeniwahi..!Ngoja nifuate njia za mmakonde nianze na bango na mimi pale Kariakoo itapendeza
Bwana atatenda just don't give up mdogo wangu, na ukiweza utashangaa ulishindwaje..!
Nilivyoona tu thread niliwaza kukutag wewe kwanza, luckily nikapata umeniwahi..!
you'll always be my every morning crush no matter how far we are from each other, just put this on thach smart mind ov yours..! Nothing's gonna change that.!Mleta uzi anastahili zawadi anaweza kuwa kafanya kazi ya utume bila kujua
you'll always be my every morning crush no matter how far we are from each other, just put this on thach smart mind ov yours..! Nothing's gonna change that.!
crush shkamoo ☺️
Ebu sema kweli banah [emoji3059] maisha ndio hayahaya ujue ebu tuishi tu dear [emoji8] tunapopata nafasi ya kufurahi tufurahi tu nakupenda D[emoji847]
Abeeeyou'll always be my every morning crush no matter how far we are from each other, just put this on thach smart mind ov yours..! Nothing's gonna change that.!
[emoji23][emoji23][emoji23] Hata sijui nacheka nini na sitaki uniulize we mzeeNimeacha haka katabia, kanaweza kukufanya ujenge taswira tu halafu...[emoji1787][emoji1787]
...japo nna crush wangu...!
Halafu we mtoto, basi niambie tucheke wote mama![emoji23][emoji23][emoji23] Hata sijui nacheka nini na sitaki uniulize we mzee