#COVID19 WHO: Mtu 1 kati ya 500 anaweza kupata chanjo ya Ugonjwa wa COVID-19 kwa Nchi zinazoendelea

#COVID19 WHO: Mtu 1 kati ya 500 anaweza kupata chanjo ya Ugonjwa wa COVID-19 kwa Nchi zinazoendelea

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ni Mtu 1 kati ya 500 kutoka Nchi za kipacho cha chini ndio ana uwezo wa kupatiwa Chanjo ya COVID19 ikilinganishwa na Nchi zilizoendelea ambapo mtu 1 kati ya 4 amepata Chanjo.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) António Guterres amesema hakuna atakayekuwa salama hadi watu wote wawe salama akiongeza Virusi vya Corona ni hatari popote vitakapokuwa vimesambaa.
 
Sema hata ingeletwa kesho kwa watu wote, wengine wangekataa kuchanjwa.

Kuganda damu mchezo?
 
Sema hata ingeletwa kesho kwa watu wote, wengine wangekataa kuchanjwa.

Kuganda damu mchezo?
Wabongo wengi itakuwa ngumu kukubali kuchanjwa lazima kwanza warudishiwe hofu ya corona ndio labda watakubali kuchanjwa.
 
Back
Top Bottom