Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ni Mtu 1 kati ya 500 kutoka Nchi za kipacho cha chini ndio ana uwezo wa kupatiwa Chanjo ya COVID19 ikilinganishwa na Nchi zilizoendelea ambapo mtu 1 kati ya 4 amepata Chanjo.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) António Guterres amesema hakuna atakayekuwa salama hadi watu wote wawe salama akiongeza Virusi vya Corona ni hatari popote vitakapokuwa vimesambaa.