Who owns bongo trap music game..

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Straight to the point,
Vile back in days trap music inaanza kuingia bongo wakaibuka watu kama Cyril kamikaze wakafanya Ngoma. Mara soon akaibuka Gosby naye akafanya yake RAIA tukamu-appreciate, all these cats kuna times wakawa kimya na trap music was like vanished in the thin air. Couple years later anakuja dogo wakujiita country weezy country boy akaanza kuirudisha trap kwa map. So far wengi wanaofanya trap hawakusimama kiviile walitoa track mbili tatu then wakatoweka. Mara ghafla wakajitokeza watoto hawa wakuitwa OMG ambapo humo kuna mtoto anayejiita young lunya ambaye anaclaim title ya king of trap (funny thing anamconsider country weezy kama guru wake kwa game). So the question is,
Currently nani vile yuko anaown hii game ya trap kwa TZ?
 
Dah country boy ft kaligraph jones & s2k2zzy kwakweli wanaona haya balaa tupu
 
Trap haiwezi kudumu,Trap ni singeli ya Marekani,Trap na singeli ni kama ushuzi tu,unavuma na kupotea,japo upo ila ni uchafu,ingawa ni sehemu ya afya!!
 
Hiv Gosby cku hiz yuko wap? Dah jamaa alikua anajua kinoma,Nahis jamaa angezaliwa huko mambele saiv tungekua tuna zungumza mengne.
 
Lakini kwa mbele inawalipa wengi angalia marehemu XXTENACION kama yanki tu ila ana mpunga, kina 6X19Ne kule hatari
Trap ya 6ix9ine naiona kama haina vionjo vitamu kama kina travis scott labda ngoma yake ya gotti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…