Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
Moja kati ya mambo yanayonishangaza sana kuhusu binadamu na silka yake ni jinsi ambavyo maneno yanavyoweza ama kumjenga mtu au kumbomoa.
Miaka mingi sana iliyopita,nikiwa kijana mdogo nimehitima darasa la saba nilienda kufanya mitihani katika shule moja ya binafsi kwa ajili ya kupata nafasi ya kidato cha kwanza.Kwa kweli bianfsi sifikiri kwamba nilikuwa na akili sana wala sifikiri kwamba nilikuwa mjinga ila nilipoedna kufanya mtihani ule na kurejea nyumbani niliendelea na maisha.Basi nikawa nimeenda kwa safari kijijini ambapo tulifikia kwa ndugu yangu ambaye alikuwa ni mwalimu.
Mama yangu alimweleza kwamba nimeenda kufanya mtihani katika shule hio na kwa kuwa ni mwalimu aliniuliza iwapo nitachaguliwa kwenye hio shule.Kwa matazamo wake ile shule ilikuwa inachukue the best of the best na kwa mujibu wake mimi sikuwa best of the best.Aliniambia kwamba SITAWEZA KUCHAGULIWA KWENYE ILE SHULE.Alishauri nifanye mitihani kwenye additional schools.Aliniambia kwamba katika ile shule watu walioomba ni kutoka shule zote Tanzania na ushindani ni mkubwa na mimi SIWEZI kushindana na watu waliotoka shule kubwa na za mjini na ambao wanatoka katika familia bora na mazingira yangu.Mimi nilimwamwambia kwamba Mimi ndiye niliyefanya Mtihani,Nitachaguliwa.Alicheka tu akaniambia niache ujuaji.Wiki ile ile baada ya kurudi nikawa nimechaguliwa kujiunga na ile shule.Sikutaka kujua kama amepata taarifa,au amefurahi au kuchukua ila huyo alikuwa ni mtu wa kwanza kuniambia kwamba HUWEZI tena baada ya mimi kuwa tayari nimeshatenda na bado kitendo cha yeye kuonyesha kwamba haniamni na haamini uwezo wangu kiliniumiza sana na kuniathiri.Ukweli ni kwamba kwa argument alizonipa deep inside niliamini kwamba sitachaguliwa.
Baada ya matokeo kutoka Mzazi wangu aliniuliza JE utaenda shule hii ya kulipia au utasubiri matokeo ya serikali ili ujue umepangiwa shule gani?In short aliniuliza JE UTAFAULU DARASA LA SABA?Kwanza nilimtazama na nikamwambia "KAMA NIMEFANIKIWA KUPATA SHULE HII BASI HATA SERIKALINI NITAPATA NI WEWE UAMUE KAMA UTANIPELEKA SHULE YA KULIPIA AU NISUBIRI NIENDE SERIKALINI" Hii shule ya binafsi tulitakiw akuripoti kabla ya matokeo so ina maana kwamba nisiporipoti nafasi yangu anapewa mwingine na nisipofaulu lasiba naenda kuwa Mganga wa jadi.So kwa hofu hio nilipelekwa Private na matokeo yalipotoka nikawa nimepangiwa shule ya vipaji maalum.Wazazi kwa kiwewe walitaka niende shule ya vipaji maalum ila nilikataa nikawaambia nitabaki hukuhuku.SITAKI KUSEMA ZAIDI KUHUSU HILI.ILA niliendelea kusoma shule ile ile.Katika kipindi kile sikujua kwamba nilikuwa natumia moja kati ya nguvu kubwa sana binadamau aliyopewa.NGUVU ya KAULI,NGUVU ya NENO.
Watafiti wa masuala ya saikolojia na tabia wanasema kwamba,tunachokisikia kinatuathiri zaidi kuliko tunachokiwaza.Yaania aina ya maneno ambayo unayasikia mara kwa mara yanaathiri sana tabia na mwenendo wa fikra zako na matendo yake.Ukiweza kuongoza namna na aina ya maneno unayoyasikia basi unaweza kabisa kubadili uelekeo wa maisha yako.Moja kati ya maneno yenye nguvu sana ambayo huathiri hisia za mtu ni pamoja na yafuatayo.Maneno yote ya Matusi(kwa mujbu wa desturi),neno NAKUPENDA(I LOVE YOU) neno HUWEZI,SIWEZI,SIKUPENDI.Yapo maneno mengine mengi sana ambayo yanaathiri kabisa mfumo wako wa fikra natabia kama ukiambiwa/ukijiambia mara kwa mara.Haya maneno yanakuwa na athari zaidi yanaposemwa na mtu ambaye ana influence kubwa kwako au mtu akiyasema kwa kumaanisha.
Kwa mfano kama kuna mtu ambaye anakuvutia kimapenzi,akikwambia anakupenda utajisikia vizuri sana.Baba au Mama yako akikwambia hakupendi utaumia sana.Ndivyo ilivyo na yatakuathiri kitrabia na kimtazamo.
Baada ya utangulizi huo mfupi nataka sasa nirudi kwenye mada ya leo juu ya matumizi ya neno UNAWEZA/HUWEZI/NAWEZA/SIWEZI.
Hili neno linatoka na msingi wa neno UWEZO/WEZA.Ni neno ambalo linatofuatisha katia winners na loosers,fools na intelligent people.Yaani kwa kutegemea ni mara ngapi unajiambia au kukubali kuambiwa au kuwaambia watu kwamba huwezi basi jua kabisa kwamba inadefine kiwango chako cha ukuu.Yaani kama wewe sasa hivi ni RAIS wa nchi na unajiona umefanikiwa sana kwa sababu ya kuwa RAIS ila bado unatumia neno HUWEZI/SIWEZI/HAIWEZEKANI basi wewe ni RAIS lakini wewe ni looser.SASA Msilete mambo ya ajabu hapa maana loosers ni wengi watakaosoma hili.
Kama wewe ni mchizi tu wa kitaa ambaye hujua hata utakula nini jioni hii ila kwako neno kuu ni NINAWEZA/UNAWEZA/INAWEZEKANA basi wewe ni bora kuliko jamaa hapo juu ingawa leo unalala na njaa.
Iko hivi,UKIZOEA KUSEMA/KUSIKIA/KUJIAMBIA na KUWAAMBIA wengine kwamba HAWAWEZI na HAIWEZEKANA hutakaa uweze na hata ukiweza hutajua kama umeweza.UTAPITILIZA KWENU.
UKIZOE KUSEMA/KUSIKIA/KUJIAMBIA/KUWAAMBIA wengin kwamba wanaweza na inawezekana,hutakaa ushindwe hata ukishindwa hutakuwa umeshindwa.
Kama wewe ni mlezi au mwalimu USIPENDE wala KUZOEA kuwaambia watoto kwamba HAWAWEZI au HAIWEZEKANI.Hii ni sawa na mauaji(You are killing them)Usimwambie Mtu kwamba hawezi.Show the with action how it can/cannot be ili usitumie hilo neno.Kama una rafiki yako ambaye kila ukimwambia kitu anasema haiwezekani basi mkwepe sana kwani anakuua.
Sitaki kusema tena.
Nawatakia KILA la HERI