WHO: Sausages, bacon as bad as smoking in causing cancer

Kenyan

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2012
Posts
414
Reaction score
314
Okay this is bad, really bad. I mean absurd!!!

In the end tutaambiwa everything causes cancer! Am crossing my fingers...

Hebu soma hii research ujionee yanayoweza cause cancer

=============

red meat?.......hivi jamii za wafugaji hasa wamasai wanasumbuliwa na kansa sana?
 
Hahahahaaaaaa,watoto wa kishua na mavyakula yenu yaliyokaa kny freezer kwa mwaka mzima ujumbe huu unawahusu sana
 
red meat?.......hivi jamii za wafugaji hasa wamasai wanasumbuliwa na kansa sana?

Jamaa wako vizuri na miti shamba. Nahisi jamaa wamemaanisha processed meat hasa huko kwao maana hawapati kitu flesh buchani kama sisi huku
 
Jamaa wako vizuri na miti shamba. Nahisi jamaa wamemaanisha processed meat hasa huko kwao maana hawapati kitu flesh buchani kama sisi huku

Hiyo ya kutopata nyama freshi buchani si kweli hata kidogo.

Bucha ziko nyingi tu na hata traditional supermarkets kila siku huwa zina nyama freshi.
 
Hiyo ya kutopata nyama freshi buchani si kweli hata kidogo.

Bucha ziko nyingi tu na hata traditional supermarkets kila siku huwa zina nyama freshi.

Mkuu mi nachojua nyama zao zinaweza onekana zipo flesh, but with preservatives in it.
 
Mkuu mi nachojua nyama zao zinaweza onekana zipo flesh, but with preservatives in it.

Ah wapi.

Nyama zitokazo machinjioni moja kwa moja zipo nyingi tu.

Ni wewe mwenyewe tu kuamua unataka nyama aina gani.
 
Am glad kuona tupo wengi tutakaoendelea kula nyama kama kawa, sjui kama naweza ita kupuuza but am going to do something close to that kwa hii research...

Kila siku wanaibuka na mapya, Duh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…