maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
world up, hope mko fit as usually ama nini!
kuna wale raia sijui wana akili gani, sijuhi wanahisi sie wanaume tumeumbwaje aani yaani kitu chochote kitacho happen utaskia "jikaze kiume" oyah haa sie wenyewe binadamu tunafeel vile vile mtuachie itikadi za kiboya
Leo nusu nimkande mshikaji namsimulia maumivu nnayo ya feel kutokana na anavo nifanyia shemeji ake, eti ananambia nijikaze kiume
Alowambia wanaume hatuumii nani? Maana kawajaza sana ujinga sie wenyewe tuna hisia mda mwingine tunaumizwa tunapoa ndani tunalia adi hasira zikate ndo tunatoka out
oya afu ku act huumii naali ata msosi haushuki huo undezi mwisho unajikuta unadanja kihoro
kuna vitu vya kujizuia kulia ila sio mapenzi wanangu me nawachana