Mtuwawatu, point nzuri lakini tatizo ni kwamba hata hawa permanent secretaries wengi ni "figure heads" hivyo wanakuwa zaidi kama politicians. Unajua Permanent Secretary wa wizara ya Miundombinu lazima awe mtu wa kwenye fani hiyo (Mhandisi of some kind) lakini hebu nambie "PS" wa hii wizara ana profession/qualifications gani tena??
Kurudi kwenye swali lako Mkuu, inategemeana na kosa lenyewe, kama ni "Technical" nadhani lawama ni ya PS kwamba "ameshauri Waziri vibaya" au, "hajamshauri Waziri wake kabisa!!!" Lakini wengi watajitetea kwamba walishauri hawakusikilizwa, crap!! Walifanya nini walipoona Waziri au NW hawasikilizi?? Nadhani kuna hatua za kimaadili lazima zichukuliwe ikiwemo kuandika "formal report" ambayo itapitiwa wakati wa vitu kama "Audit" na once zikionekana then mchawi atajulikana, Waziri, NW au PS!!!
Kaazi kwelikweli....