#COVID19 WHO: Unaweza kupona baada ya kupata maambukizi ya #COVID19

#COVID19 WHO: Unaweza kupona baada ya kupata maambukizi ya #COVID19

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO) limetoa taarifa ya kusisitiza kuwa kuambukizwa ugonjwa huo unaosababishwa na Virusi vya Corona si mwisho wa maisha

Imeelezwa kuwa Watu waliopata maambukizi ya #CoronaVirus wamepona na kurudi katika hali ya maisha yao ya kawaida. Walioambukizwa hawapaswi kutaharuki

WHO: Kama utajisikia kuwa na dalili za maambukizi ya #COVID19 fanya jitihada za kujitenga na jamii yako kisha walisiana na mamlaka husika ili usaidiwe

========

You can recover from the coronavirus disease (COVID-19). Catching the new coronavirus DOES NOT mean you will have it for life.

Most of the people who catch COVID-19 can recover and eliminate the virus from their bodies. If you catch the disease, make sure you treat your symptoms. If you have cough, fever, and difficulty breathing, seek medical care early – but call your health facility by telephone first. Most patients recover thanks to supportive care.

WHO
 
Kwanini HIV wanakuwa persistent in the body? Both HIV and corona virus are intracellular, integrating into the host DNA and thus propagated with cell divisions....sasa huko kutoka ?????? we need research to come to that conclusion
 
Tatizo ni kuwa HIV wanajificha kwenye reservoir areas ambazo ARV haiwezi kufika. HIV RNA I ski code kwenye CD4 mwili unashindwa kudetect the enemy hali ni tofauti kwa corona virus kinga za mwili zinaweza kupigana na corona virus.
 
Aisee ...unabishia WHO!
 
Nipo hapa nikifuatilia Michango yenu kwa umakini
 
Tatizo ni kuwa HIV wanajificha kwenye reservoir areas ambazo ARV haiwezi kufika. HIV RNA I ski code kwenye CD4 mwili unashindwa kudetect the enemy hali ni tofauti kwa corona virus kinga za mwili zinaweza kupigana na corona virus.
Nimeelewa hivyo hivyo. Lugha ya kitaalamu mno kwa sie. Thanks
 
Tatizo ni kuwa HIV wanajificha kwenye reservoir areas ambazo ARV haiwezi kufika. HIV RNA I ski code kwenye CD4 mwili unashindwa kudetect the enemy hali ni tofauti kwa corona virus kinga za mwili zinaweza kupigana na corona virus.

Unaweza kutupa link ili tujisomee zaidi?
 
WHO imekuwa ya kipuuzi sana sasa hivi.

Yaani Watu wanajiongeza wenyewe tu, WHO wanaopaswa kutoa mwongozo wa kujikinga HAWAELEWEKI.

Inaendeshwa na propaganda za very cheap statements.

Kwanza Corona haikupaswa kuwa pandemic in the first place.

WHO kwa uzembe wao kuwachekea wachina wameingiza kwenye gharama kubwa.

Kwamba Corona, inapona na hivyo watu wasitaharuki. SO WHAT ?

Kwamba watu waichukulie poa CORONA ?

Tusubiri i-undergo mutation Iwe Deadliest ifute dunia ndio tuwe SERIOUS.
 
WHO imekuwa ya kipuuzi sana sasa hivi.

Yaani wanajiongeza wenyewe tu, WHO wanaopaswa kutoa mwongozo wa kujikinga HAWAELEWEKI.

Inaendeshwa na propaganda za very cheap statements.

Kwanza Corona haikupaswa kuwa pandemic in the first place.

WHO kwa uzembe wao kuwachekea wachina wameingiza kwenye gharama kubwa.

Kwamba Corona, inapona na hivyo watu wasitaharuki. SO WHAT ?

Kwamba watu waichukulie poa CORONA ?
 
Tatizo ni kuwa HIV wanajificha kwenye reservoir areas ambazo ARV haiwezi kufika. HIV RNA I ski code kwenye CD4 mwili unashindwa kudetect the enemy hali ni tofauti kwa corona virus kinga za mwili zinaweza kupigana na corona virus.
Sure, that is what treatment of viruses infection becomes difficult

C&P
All viruses are intracellular parasites. Their only mission in life, if you can call it that, is to use the mechanisms of human cells to make copies of themselves. The tricky task is finding a way into the cells where they can replicate. The novel coronavirus, SARS-CoV-2, isn’t particularly good at that. Research so far suggests that it sneaks in through a single cellular door: a membrane protein called ACE2.

Angiotensin converting enzyme 2 receptors, or ACE2 receptors for short, are a part of the sympathetic nervous system. Their job is to bind to a hormone (conveniently called the ACE2 hormone) as part of the body’s stress response. The ACE2 hormone plays a role in constricting blood vessels, which raises blood pressure.

The virus that causes Covid-19 can latch onto the ACE2 receptor undetected—likely because of its animal origins. The adaptive immune system—the part that creates antibodies that help identify pathogens quickly—hasn’t had a chance to learn what SARS-CoV-2 looks like yet. This means the virus can use a molecular phishing scam to sneak into the cell.

Picture it like this:

Once it does, the cell is doomed: SARS-CoV-2 takes control of the cell’s genetic reproduction tools, relentlessly replicates itself, and bursts through the cell membrane—the microbial equivalent of blowing up a building and not looking back.

People with diabetes or high blood pressure—who are typically older adults—often take a class of drugs called ACE inhibitors. These drugs limit the constriction of blood vessels and, in doing so, make ACE2 receptors more prevalent throughout the body. Some scientists hypothesize that this is why people with these conditions have much more severe cases of Covid-19.

“The ACE2 receptor is found pretty abundantly through a lot of our organs,” says Panagis Galiatsatos, a pulmonologist at Johns Hopkins Bayview Medical Center. They’re on cells on the tongue, and along our esophagus. They’re on cells in the kidneys and heart, and the end of our gastrointestinal tract—which is why stomach symptoms, like
loss of appetite and diarrhea have been observed.

Most worryingly, ACE2 receptors appear on cells in the most delicate part of the lungs: the alveoli. They’re responsible for the vital gas exchange of taking in oxygen and releasing carbon dioxide. Damage to these cells is what causes some of the
most common symptoms of the virus, like shortness of breath. Coughing is a result of the lungs trying to expel the infection.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom