Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Hata mm nafaham hvyo Mkuu na ukwel ndio huoBabushka lady ni propaganda za wazungu tuu wanajua mwanzo mwisho wa J.F hizi wanazitengeneza tu ili kuzidi kuwapoteza kwenye ukweli... View attachment 336197
Tatizo tunapuuza Sana mambo ya kiroho, ukoo wa Kennedy ulikuwa unaandamwa na roho ya mauti hadi wamekwisha wote, na wote vifo vyao ni vya utata na ajabu Sana, huyo Babushka Lady hakuwa binadamu wa kawaida, alikuwa ni pepo, angelikuwa binadamu wa kawaida Kama wengine ni lazima Kwa intelligence ya Marekani angekamatwa tu, hili nitakuja kuliletea mada yake maalumu humu.
yah ni ngumu kuamin bila proof mkuu.....btw binafsi nasubil hyo madaTatizo tunapuuza Sana mambo ya kiroho, ukoo wa Kennedy ulikuwa unaandamwa na roho ya mauti hadi wamekwisha wote, na wote vifo vyao ni vya utata na ajabu Sana, huyo Babushka Lady hakuwa binadamu wa kawaida, alikuwa ni pepo, angelikuwa binadamu wa kawaida Kama wengine ni lazima Kwa intelligence ya Marekani angekamatwa tu, hili nitakuja kuliletea mada yake maalumu humu.
Babushka lady ni propaganda za wazungu tuu wanajua mwanzo mwisho wa J.F hizi wanazitengeneza tu ili kuzidi kuwapoteza kwenye ukweli... View attachment 336197
Nani aliyempiga picha huyo mwanamke akiwa anachukua picha zile? Kwa nini hakumfuatilia kwani alionyesha pia ana interest na huyo mwanamke ndo maana akafuatilia kwa ukaribu!Angalia YouTube utaona jins alivyopiga picha kifo na JFK na kusepa ghafla kweli inaleta walakini flani"