Unaona ni sahihi mkuu?
Hivi kwa akili yako mtu ambaye amekua a presidential candidate anaweza kua anaishi kama sisi hao uliotuita normal citizen?
Uko vizuriMimi hapa. Nipo kwa ajili ya usalama wa taifa na siyo kwa usalama wa wauaji na wezi wa kura. Kwangu mimi huu ndio uzalendo.
Na wapo waliosema haumwi kabisa, sijui informers wao tuwaitajeLissu kasema Magufuli amelazwa hospitalini Nairobi Kenya. Baadaye kaseme serikali ya JMT ilimuondoa na kumpeleka China. Inaonyesha huyo informer ni boya kama boss wake tu.
Lissu kasema Magufuli amelazwa hospitalini Nairobi Kenya. Baadaye kaseme serikali ya JMT ilimuondoa na kumpeleka China. Inaonyesha huyo informer ni boya kama boss wake tu.
Lissu kasema Magufuli amelazwa hospitalini Nairobi Kenya. Baadaye kaseme serikali ya JMT ilimuondoa na kumpeleka China. Inaonyesha huyo informer ni boya kama boss wake tu.
May be he even knows who was behind the 16 bullets.It should be a matter of time, I suppose things will begin to unfoldLisu Started questioning whereabouts of the president on March 7th 2021. As per the Vice President our President Dr. John Magufuli was hospitalized on 6th march 2021.
This clearly shows Lisu was fed information about the health of our President by his sources which he claims are reliable from the government.
Remember we normal citizens and the rest of the world were never notified on the Presidents illness till his demise on the 17th March 2021.
Who was feeding Lisu with information?
AsanteMimi hapa. Nipo kwa ajili ya usalama wa taifa na siyo kwa usalama wa wauaji na wezi wa kura. Kwangu mimi huu ndio uzalendo.
Hatma yako si nzuri umefikia hatua ya kumlinganisha muumba na vitu vilivyoundwa na mwanadamu.... kuna vitu viwili tu ambavyo havidanganyi wala kudanganyika - MUNGU na TEKNOLOJIA. At least one of them was feeding Lissu!
Mleta UZI anajua tu kuongea KINGEREZA but kuufikirisha UBONGO wake ili a connect dots kagoma, sijui ni makusudi au bahati mbaya.Oktoba 2020 kabla ya uchaguzi pale Kawe, TL alisema Magufuli tayari amekwishapewa kura 12 mil na yeye TL 1.3 mil. Hiyo ilikuwa kabla ya uchaguzi. Na NECCM walipotoa matokeo ilikuwa hivyo hivyo... Huyu aliyeuliza hili swali, Je, anafikiri ni kwa nini?