Who was Lissu's informer, does this have any effect on our internal security?

Mkuu, lugha yako ni ngumu kuielewa!
 
May be he even knows who was behind the 16 bullets.It should be a matter of time, I suppose things will begin to unfold
I bet he has a good handle to that. What do you expect?

Wouldn't you have been interested to know had you been in his position?
 
uzuri hao ma informers huwa wana kuwaga na time limit, akijulikana anapotea anaingia informer mwingine ambae hajulikani,,na siku zinaenda
 
Usalama wa wauaji na madikteta siyo usalama wa taifa. Usalama wa taifa ni usalama wa Watanzania wa kawaida.
Labda shida tu ni kujua mwanzo na mwisho wa matendo ya hao viongozi; kama kweli wanayoyafanya wanayafanya kwa faida ya taifa, au ni kwa kujifurahisha wenyewe au kujitafutia sifa binafsi.
 
We are told our President was first hospitalized at Jakaya Kikwete Heart Centre/hospital...To what extent are staffs at this Centre lip tight? Just a thought though..
 
I do not know what you are talking about, all I know is he is in the office anachapa kazi, have you ever seen him wondering at Kariakoo or Magomeni? This was said inside a mosque on Friday during noon prayers, and till now no body has refuted, I stick to this in support to the PM.
 
Umesahau Lissu alisema amepelekwa India...[emoji3]
Lissu kasema Magufuli amelazwa hospitalini Nairobi Kenya. Baadaye kaseme serikali ya JMT ilimuondoa na kumpeleka China. Inaonyesha huyo informer ni boya kama boss wake tu.
 
Lissu alipewa mtonyo na wafanyakazi wa nairobi hosp
 
The first whistle blower was Evarist Chahali a former KGB.
The best advice to take is that "walls have got ears"
KGB au TISS kule yupo mafichini baada ya kufanya madudu yake hapa Tz
 
Na aliposema Amekufa je hakufa kweli?

of course alitabiri atakufa kwa sababu ndiyo kazi anayofanya sasa baada ya siasa kumshinda. Ila alisema keshakufa wakati bado ni mzima. Kumbuka kuwa alienda hospitali tarehe 6/3 akatolewa tarehe 7/3 akaendelea na kazi hadi tarehe 14/3 ndipo akapelekwa tena hospitalini akafariki tar 17/3. Sasa huyu mtabiri/mchawi kamtangazia kifo siku nyingi kabla hata kabla hajapelekwa hospital mara ya pili.
 
Haa,kweli mkuu?
 
swali la kijinga sana hili. sasa ukimjua huyo informer itakusaidia nini?.
 
Wewe ndio boya umepindisha alichosema lissu

Kama ni kusema kuwa alitoroshewa Chuna badala ya India kweli nimekosea. Lakini boya na informer wake walisema katibiwa Nairobi na kutoroshewa nchi nyingine wakati hajatoka TZ
 
Kama ni kusema kuwa alitoroshewa Chuna badala ya India kweli nimekosea. Lakini boya na informer wake walisema katibiwa Nairobi na kutoroshewa nchi nyingine wakati hajatoka TZ
Kaaa hivyo hivyo .
 
Wenzangu wa kiingereza cha yes na no hapa ndiyo umetuachia vumbi tuu, haka ka lugha kanatunyanyasa Sana baadhi yetu
 
Hatma yako si nzuri umefikia hatua ya kumlinganisha muumba na vitu vilivyoundwa na mwanadamu.


Waulize meli ya Titanic kilichowakuta.

Sometime ni heri kukaa kimya
Ni wapo alipomlinganisha Mungu na technolojia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…