Mkuu hata ungukuwa lazima ungetoa pesa, ukichukulia kwamba watoto wanaaminika sana!Hii kali mkuu! Naona mzee alifikiri kapata mwanya wa kumnasa mkewe. Kumbe hamna kitu. Duh! mtoto ana akili!
Labda kaliwahi kusikia mzozo kati ya baba na mama halafu kanajua mzee ni mbinde, kakaona hapa ndio pa kuvutia peasa. I agree, haka katoto ni ka thinker!Ila watoto wanamaajabu napenda sana kuwa observe watoto na mambo yao between age 3 to 11.haka katoto lazima ni ka great thinker bwana
Mkuu hapo utakuwa hujakatendea haki maana hayo ni malipo ya habari ambayo ni kweli tena kweli tupu na uliona ni worthy paying for it.Wallahi kama ningekuwa mimi ndo baba ningemnyang'anya mshiko niliompa!! afu ningemuahidi zawadi nyingine
hahahahhaha kwakweli maaan baba kataka umbea na mtoto kamu outsmart, nimeipenda hiyoMkuu hapo utakuwa hujakatendea haki maana hayo ni malipo ya habari ambayo ni kweli tena kweli tupu na uliona ni worthy paying for it.
Aaa wapi watoto wote si wa kuaminika, kama haka kabwana mdogo kamemtega mdingi ili kapate mshiko!Mkuu hata ungukuwa lazima ungetoa pesa, ukichukulia kwamba watoto wanaaminika sana!
kina madenge now days wako wengiAaa wapi watoto wote si wa kuaminika, kama haka kabwana mdogo kamemtega mdingi ili kapate mshiko!
Ukitaka kuhakikisha hili yafanye ya Baba na mama wakiwa wanaonakina madenge now days wako wengi