WHO: Watu nane wamefariki Kagera kwa ungojwa unahisiwa kuwa ni Marburg

RIP Dr Mwele Malecela, aliposema tu kuwa kuna dalili za ugonjwa wa Zika mwaka 2016, MAGUFULI alimtimua kazi. Naona tabia hii inaendelea hadi kipindi hiki cha awamu ya 6.

Alikuwa kitengo gani huyo mwamba ?
 
Aise! Na kila siku mabasi ya Abood,Katalama,Frester,nk (Dar-BK) yanazidi kumwaga abiria pale Stendi ya Magu!
 
Ndio madhara ya kuficha uchi mwisho maradhi yanakuumbua ..

Tz ugonjwa unaweza kuzuka serikali ikapiga kimya mpaka watu wa nje ya nchi wagundue ndio na serikali utawaona wanaangahika.

Huwa najiuliza sijui uwezo wa wataalam wetu ni mdogo au ndio wanajizima data lolote na liwe
 
Tayari WHO wametuma timu ya uchunguzi ili kusaidiana na wataalam wa serikali ili kubaini ukweli wa ugonjwa huu ambao bado serikali ya Tanzania haijathibitisha.

Kwa mujibu wa BBC watu wanane (8) wamefariki. Dalili za ugonjwa huu ni mafua na kikohozi.

WHO imesema katika hatua hii ya awali hakuna sababu ya Tanzania kufunga mipaka yake ili kukabiliana na ugonjwa huu hatari unaoua.
 
Huo Mkoa ni hatari yaani Kila gonjwa la ajabu lazima lianziw huko,shida ni nini?
 
Marburg Inasogezwa Dodoma Kwenye Mkutano Maalum Wa CCM, Wakitoka Wanausambaza Mikoa Yote, Kazi Kujiuguza
 
 

Attachments

  • 5929966-5358adcd11ca564ef6ab279deb233ae9 (1).mp4
    14 MB
Kagera ni mkoa wa majanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…