beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Kuelekea Siku ya Usikivu Duniani (Machi 03, 2022), Shirika la Afya (WHO) limesema zaidi ya Watu Bilioni Moja ulimwenguni kote wapo katika hatari ya kupoteza uwezo wa kusikia kutokana na mazoea ya kusikiliza muziki kwa sauti kubwa, na kwa muda mrefu.
Imeelezwa kuwa, kupoteza usikivu kutokana na sauti kubwa ni jambo la kudumu, lakini linaweza kuzuilika. Ripoti ya Shirika hilo inasema kufikia 2050, inakadiriwa Mtu Mmoja kati ya Wanne atakuwa na tatizo la usikivu.
======
Globally, over one billion people are at risk of hearing loss due to the common practice of listening to music at loud volumes and for long periods of time. Hearing loss caused by loud sounds is permanent; however, it is also completely preventable.
The WHO World report on hearing reports that by 2050 an estimated one out of four people would have hearing loss. It highlights the importance of prevention to reduce hearing loss risk and prevalence. To prevent hearing loss caused by unsafe listening practices, WHO has created the ‘Make Listening Safe’ initiative
Source: Wold Health Organization (WHO)