Ephraim Musola
Member
- Jan 8, 2018
- 16
- 18
= mawakala.Habarii, naomba kwa yeyote anae ishi Dsm na anaijua kariakoo nje ndani Hasa kwa wauzaji wa jumla wa vipodozi hii kwa mawakara wa bidhaa au waagizaji wa bidhaa direct from viwandani au nje ya nchi.
Pls hit my dm Kuna kazi ya kufanya mapipo ni mazuri
Ndguu kma ujumbe umeelewa ya nn ku criticize andiko langu?= mawakala.
= distributors.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Kwani ulienda shule kusomea ujinga?Ndguu kma ujumbe umeelewa ya nn ku criticize andiko langu?
Kma hauna Cha kunisaidia is better u mind your own business.
Sasa ndo uandike wakara badala ya wakala?Ndguu kma ujumbe umeelewa ya nn ku criticize andiko langu?
Kma hauna Cha kunisaidia is better u mind your own business.
Habaridirect from viwandani au nje ya nchi.
Pls hit my dm Kuna kazi ya kufanya mapipo ni mazuri