Young Gwala
Member
- Mar 21, 2017
- 25
- 9
Ndio ule mda unaenda kununua mkate unarudi umelewa. Na usiku unakua mrefu zaidi ya mchana.
Wadau tuna list viungo vikali maeneo zote kwanzia tanga adi dar. Feel free kuandika sehem na bei zake. Chanua mwenzio