Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 741
Eti anamaanisha huyo dina??weka link tujue ili upate jibu!Msije mkawa mnasema kwakutojua mipaka yenu kama inakukwaza waandikie tume ya mawsiliano hapa nadhani msaada hakuna zaidi ni kumsengenya mtu!Dina Marios?
acha uongo kama humjui mtu usiandike upupu,Dina Marious ni mwingine na huyu ni mwingine kwanza hayuko TZ,pitia Blog yake ndio utajua tofauti zaoNadhani ushawahi kumsikia jina halisi anaitwa Edna Peter before hajaja Dar alikuwa anatangaza na kituo kimoja cha redio cha Jijini Arusha,
Triple A fm.. umjini umemkaa siku izi anajiita hivyo baada ya kuajiriwa na clauds fm,
Eti anamaanisha huyo dina??weka link tujue ili upate jibu!Msije mkawa mnasema kwakutojua mipaka yenu kama inakukwaza waandikie tume ya mawsiliano hapa nadhani msaada hakuna zaidi ni kumsengenya mtu!
Wekeni Link apa watu waccomment objectively otherwise tutakuwa tunapiga majungu
..huyu dada nampenda kweli yani nipo radhi nifanye kitu chochote kwa ajili yake ....na tafadhali hakuna kumponda hapa kwenye hii thread kwani mi ndio hivo tena kwake ..sorry kama ameolewa
hahaha MR unakolezea wino kabisa sasa kazi kwakeTutasema ukweli tu usijali she is not married!
hahaha MR unakolezea wino kabisa sasa kazi kwake
Useja una kazi...nimekwenda ku check kwenye profile yake anasema ameolewa(hapo chini)Tutasema ukweli tu usijali she is not married!
About Me
Najulikana kwa wengi kama Dinah(linatamkwa diina/dena)ni kifupi cha jina langu. Nilizaliwa Dar miaka mingi iliyopita, nikasoma Elimu ya awali mikoa tofauti alafu nikamalizia Elimu ya Sekondari hapa Dar, kisha nikawa nazuga mtaani mpaka wakati ulipofika wa kujiunga na Elimu ya juu na hatimae kufanya kazi kama mwandishi wa Habari na Mtangazaji. Baada ya muda nikaamua kubadili fani na kuendelea na masomo ya juu ambayo nilikwenda kuyamalizia Uingereza. Sasa najaribu kugawa muda kati ya Kazi na majukumu kama Mke. Nikipata muda nakuja hapa kulibeneka!
Sio Dina MariosDina Marios?