who's Tanzania's Most famous Celebrity?

just curious guys.
Labda nitaje ninaowajua hasa uwezo wao wa kazi wanazofanya kwa uchache tu,Dr licky abdalah,edibily lunyamila,professor jay,lady jaydee,John Dilinga,jenerali ulimwengu,Joti&Mpoki,Kanumba,babu wa loliondo! Nafikiri mmoja wapo kati ya hao anastahili kuwa the most famous celebrity.
 
Kwa kuwa umesema celebrity na si superstar, jibu ni Babu wa Loliondo. Ingekuwa suala ni u-Super Star jibu ni Steven Kanumba.
 

hapo labda jay dee,na p.jay.
 
Babu Ambi wa Loliondo kwa sasa ndio anashika namba moja.
 
wadada wote wa bongo walioolewa na vibabu vysa kizungu visivyokuwa na meno! ha ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…