Who's Who In Tanzania

Kumbe tunaweza kujua siri nyingi kwa sehemu hii?
Huyu mama namfahamu maana nimesoma naye darasa moja pale Shirati Sekondari (1973 hadi 1976) lakini mwaka wa mwisho kabla hatujamaliza form four alipata mimba na akarudishwa nyumbani ili azae na akachelewa registration ya form four. Na hakuweza kufanya mtihani.
Mwaka uliofuata alirudi pale shuleni Shirati sekonadari baada ya mwenye shule (ambaye alikuwa ndiye headmaster) kumshauri arudi kumalizia na wakampa nafasi ya kurudia form four na akamalizia hapo 1977 kabla ya kwenda DSA 1978.
Hivyo si kweli kwamba alimaliza la saba 1973 ila alimaliza 1972.
Na si kweli kwamba alianza form one 1974 bali alianza 1973.
Kumbe kuna mahali hawasemi ukweli hawa wabunge wetu?
Si ni bora kuwa mkweli kwa figure na kama watu wakikuuliza ilikuwaje utazi justify kwa maelezo?
Hata hivyo ninafurahi kwamba atakuwa wa kwanza kutetea wanafunzi wa kike wanaofukuzwa shule kwa sababu ya ujamzito. Maana kama rungu lingefanya kazi kwake pia kama walivyokuwa wakifukuzwa wengine, sijui angelikuwa wapi masikini. Na kwa sababu hiyo awe wa kwanza kutetea hawa wanaorubuniwa kama alivyorubuniwa yeye pia. Asinyamaze kimya maana historia itamhukumu.
Samahani Ester Kabadi kwa kueleza haya maana ukishakuwa political figure ni muhimu kuwa muangalifu kwa unayosema na kutenda maana mass inakuangalia.
 
I had the same problem but I had to register using jamii forums email. And I still not having access.

I think your password has been stolen if you entered it on that website. There is no need to login just to view that list. Change your password immediately if you have to.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…