Whose son is this?

Producer yeyote wa filamu hapa nchini atayarishe filamu itakayoitwa ' peke yake usiku wa manane' kisha amfanye huyo mtoto star wa hiyo filamu. Hiyo filamu itahit kinoma! Mtoto kajaa vipaji kedekede.

Saaana....Af iwe huyu mtoto anampa mimba Wema sepetu..Af anakuja shilole anampora mume...Af mwisho wa siku dogo anakufa kwa kujiua usiku wa manane akiwa peke yake...Itahit sana...
 
Huyu dogo ni very photogenic ! Yaani mama yake angekuwa mange kimambi huyo dogo sasa ni lakionea.. !
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lakionea [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
This kid is already old in that childish age. Look at her closely you will agree with me. Tatizo akina mama wengi hawajui kuwasuka nywele watoto wao tena nywele za kiutu uzima,zinamfanya mtoto akomae sura. Huyu mi namuona mzee tayari
To u. My kid bad, better than yorz, ma kid do the stuffs that ur kid wish she could
 
Atakuwa mjukuu wa mzee majuto.ila kana pozi nzuri sana kanafaa kwenye matangazo ya biashara kama voda na tigo ila vigezo na masharti yatazingatiwa
 
Atakuwa mjukuu wa mzee majuto.ila kana pozi nzuri sana kanafaa kwenye matangazo ya biashara kama voda na tigo ila vigezo na masharti yatazingatiwa
Umesema nilichokuwa nafikiria.
 
Saaana....Af iwe huyu mtoto anampa mimba Wema sepetu..Af anakuja shilole anampora mume...Af mwisho wa siku dogo anakufa kwa kujiua usiku wa manane akiwa peke yake...Itahit sana...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…