Whozu-Huendi Mbinguni, ngoma kali sana.

Wimbo mzuri especially video imejaa ubunifu, kuna siku ulikuwa unapigwa kwenye TV na bi mkubwa alikuwepo alicheka sana jamaa nayeye alipofeli kwenda mbinguni ikafanya na mie niupende zaidi[emoji16][emoji16]
 
Ngoma kali..ila video ingependeza sana iwe mule mule ndan ya gari had mwisho ,na pale jamaa anapoachwa na gari ndio ingekua mwisho kabisa..
 
Jamaa amekitendea haki kipaji chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…